Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Tusiongopeane bhana, yaani kabisa umevaa kisketi kifupiiiiii hadi tight ya ndani inaonekana kuwa ni nyeupe na ramani ya chupi ileeeeeeeeee kama haitoshi umevaa na ki blauzi chako mwenyewe...
12 Reactions
71 Replies
13K Views
Mambo vipi, Uzi huu ni spesho kwa waliopanga au wenye nyumba za masta tu nikimaanisha choo kipo kwenye chumba cha kulala, Hivi karibuni nimehama kutoka chumba kimoja chenye choo cha nje na...
23 Reactions
139 Replies
26K Views
  • Redirect
Mara kadhaa tumekuwa tukisikia simulizi kuhusu mashabiki ambao hubeba mapenzi yao kwa watu maarufu kwa kupitiliza, yaani mahaba yaliyopitiliza kiasi kutaka wafanane nao. Hayo yametokea binti...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa wale wapenzi wa bracelets na cultures. Post your bracelets and cultures
1 Reactions
0 Replies
829 Views
Afrika tumepoteza utamaduni wetu. Rais ni alama ya nchi, madam Rais angevaa vazi la asili la Ethiopia angeweza kuitangaza nchi yake zaidi. Nikiwa shule ya msingi , Waziri Mkuu wa India, Bi Indira...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Afrika ni Nchi tatu tu zilizo Pata mataji ya walimbwende duniani south Africa, Nigeria na Egypt. 👸🏻 Miss World titles: 🇮🇳 India: 6 🇻🇪 Venezuela: 6 🇯🇲 Jamaica: 4 🇬🇧 UK: 4 🇿🇦 South Africa: 3 🇺🇸...
2 Reactions
25 Replies
847 Views
Habari waungwana, Naomba kufahamu aina gani ya after shave nikitumia vipele havitatoka kwenye kidevu? Nimejaribu baadhi naona hazinisaidii..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jipatie bidhaa bora kabisa kutoka Óriflame kama mafuta ya kupaka(lotion) za watoto na wakubwa za kike na kiume ,lipstick, dawa za nywele ,after shave jelly na bidhaa nyinginezo kwa afya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
JITENGENEZEE AJIRA HAPA. Kampuni ya Edmark kutoka Malaysia inamakao makuu Masaki Dar es salaam Tanzania. Inajihusisha na uuzaji wa bidhaa za afya (food supplement) ambazo ni asili na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka msaada wa kujua ni aina gani ya mashine za kunyolea nywele zenye ubora na zenye kudumu kwa mda mrefu, kama unajua na bei yake na sehemu zinapopatikana ningependa nisaidiwe, lengo langu ni...
1 Reactions
37 Replies
31K Views
Ni kitu kisichopingika kuwa mtu kuwa na muonekano mzuri anahitaji kuwa na umbo zuri pia. Wanawake hasa waliozaa huwa na matumbo makubwa yanayoharibu muonekano wao mzuri. Mazoezi haya yatakusaidia...
13 Reactions
42 Replies
17K Views
Si mimi tu na wewe, kuna baadhi ya watu pia wanataka jua kusuhu hili. ni nguo gani humfanya mtu (mvulana au msichana) aonekane mrembo au mtanashati? je? ni mitindo gani ya kuweka kichwani...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Mara kadhaa ukipanda Ndege za Shirika fulani (jina kapuni) unakuta Ma-Air Hostess ngozi zao ama zimekakamaa kama mamba au rangi zaidi ya moja kutokana na mkorogo. Tujifunze angalau hata kwa wenzetu.
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Kinadada wengi wamekua wepesi kudanganyika na hata kupuuza rangi zao za asili, kitu ambacho kimefanya wengi ku bleach ngozi zao na kuishia kuziaribu kabisa Embu tazama thamani na uzuri...
4 Reactions
43 Replies
9K Views
Yako very transparent...yaani yana akisi yote yaliyomo ndani Lakini nimegundua kabisa madera haya yanayoakisi mnayavaa makusudi kabisa na mnatembea nayo mtaani. Pia nimefahamu siku hizi hamvai...
7 Reactions
82 Replies
25K Views
Nimeona mtu kaivaa mkononi kidogo imenishtua maana iko tofauti na ninazoziona kwa Wamasai au madukani. Ukiichunguza vizuri katikati kuna kitufe kimoja kina kapicha kama sura ya mtu fulani au zile...
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Habari zenu wanawake wenzangu.. Hivi hizi alama za brazia huwa inawezekanika kutoka kweli? naamanisha zile sehemu inayopita brazia..inaacha mark mno jaman..nimeanza jichukia Je kuna dawa yyt...
19 Reactions
512 Replies
37K Views
Mambo zenu alowahi tumia hii lotion ya fair and white anipe feedback
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom