Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Udongo (100% Natural) wa asili, Zainab's Natural Super Clay, mzuri sana kwa ajili ya kulainisha ngozi ya usoni na mwilini na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kupendeza, sasa unapatikana sehemu...
8 Reactions
413 Replies
70K Views
Ngozi inaharibika sanaa ukizeeka pia Mbona kuna wabibi wana ngozi nzuri sanaa na wamezeeka tuache kutumia vipodozi vikali Mwanaume atakupenda tu hata ukiwa wa njano au mwekundu ukiona hajakupenda...
32 Reactions
395 Replies
10K Views
Wapendwa ndugu zanguni hasa wadada.. Kama kuna kitu au vitu vilikuwa vinakutatiza kuhusiana na swala zima la urembo wa salon, basi chukua nafasi hii kuniuliza swali lolote lile linalohusiana na...
19 Reactions
375 Replies
215K Views
(KAMA UMEOLEWA/UMEOA TAFADHALI USISOME) Kuna story za kutisha nyingi sana kutoka kwa wanaume, kuhusu kuamka asubuhi na kujikuta wakiwa wamelala kitandani pembeni ya viumbe wasio watambua baada ya...
24 Reactions
372 Replies
45K Views
Tupia MISHONO ya nguo hapa iwe ya wadada wamama watoto vijana n.k
10 Reactions
370 Replies
7K Views
Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni... But wapo watu, mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele...
6 Reactions
365 Replies
121K Views
Siku hizi ni kawaida kumkuta mwanaume amevaa cheni shingoni au hereni masikioni. Tena utamkuta mwanaume mwenye akili zilizotimia (achilia mbali mateja) amevaa hereni na cheni kubwa huku akijiona...
11 Reactions
364 Replies
46K Views
Drop your expertise, and help another brother get his style and grace together in this fashionable world we live in. DOs ..Vaa viatu visafi kila mara. Attention unayovipa viatu vyako inaelezea...
21 Reactions
360 Replies
34K Views
Hebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani? Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya...
9 Reactions
351 Replies
120K Views
Nimekumbuka miaka ile, kulikuwa na sabuni nzuri sana za kuogea. Mnaikumbuka Geisha? Sabuni flani hivi kubwa haswa. Ilikuwa sabuni nzuri sana. Pia kulikuwa Revola, nilikuwa navutiwa na tangazo...
13 Reactions
344 Replies
69K Views
Hongereni sana Akina dada wote ambao hampaki make up na Bado mnapendeza. Mnanyoa na Bado mnapendeza. Amen!
31 Reactions
343 Replies
9K Views
Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart...
38 Reactions
339 Replies
50K Views
  • Redirect
Mimi Ni Ke..Nina tumbo kuubwa, nimejaribu njia Tofauti Tofauti ila sijapata matokeo. Nlikua nafanya mazoezi na nikipata matokeo chanya ..ila nikashtuka goti..nikifanya mazoezi linauma goti. Je...
12 Reactions
Replies
Views
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI. Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza...
19 Reactions
332 Replies
44K Views
Dreadlocks, ni aina ya nywele ambayo ina historia kubwa kwa mwanadamu kabla ya style yoyote ya nywele, ni style inayotumika kiimani mfano imani ya Uhindi (Saddhus), Some of Tibetian Buddhists...
17 Reactions
330 Replies
116K Views
Hakuna mwanamke ambaye hajawahi kuvaa khanga, vilevile hakuna mwanaume ambaye hajawahi kufunikwa na khanga (utotoni si ulibebwa )....Yafuatayo ni maajabu ya khanga 1/Historia Asili ya vazi hili...
19 Reactions
326 Replies
121K Views
Mjumbe hauwawi leo nagusa penyeweee. Sio wote ila 90% hii inawahusu. Nafanya kazi hii kwa niaba ya kutetea wanawake wanaokereka na vitabia vyenu vya ajabu, wengi wamekuja kwangu wakilalamika...
41 Reactions
323 Replies
53K Views
Mambo zenu jamani. Nimeona tukumbushane tu madiva wa Dslam kuhusu Visigino vyetu jamani. Sio Siri Dar panaongoza wadada kuwa na miguu michafu yaani hadi unashangaa huyu katoka kwenye vanga wapi...
38 Reactions
321 Replies
9K Views
Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa...
5 Reactions
320 Replies
364K Views
Habari za jioni wanajamvi Niende kwenye mada moja kwa moja. Hivi wadada wenzangu hua mmnaajiskiaje 🤔🤔. Yaani hakuna kitu kinanikera kama kumuona mdada mwembamba akiwa na kitambi, yani utakuta...
44 Reactions
320 Replies
9K Views
Back
Top Bottom