Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,880
Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni...

But wapo watu, mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele zake fupi na kazisuka mitindo ya enzi na enzi kama hivi.....very beautifull

DSC03173.JPG


images

mitindo-ya-nywele-asilia-za-kiafrika-twende-kilioni.jpg

images

images

mitindo-ya-kisasa-ya-kusuka-nywele_kipara-2.jpg

images
 
mimi nikimmega dem huwa napenda kushikilia nywele zake, dem akiwa na bandia utaona ananikataza nisishike, kuna dem mmoja alijisahau...nywele zilitoka zikabaki mikononi kwangu....nilimuona mbaya ajabu
 
:rofl:Dada Mmoja hayo manywele ya bandia yaliwahi kuchomoka akiwa class DIT. Ilikuwa balaa. Nywele za kuzaliwa nazo ndio Haswa..
 
Kitu halisi, na Asili kinapendeza kuliko Artificial, haya manywele bandia kiukweli Hayafai, lakini wengine tukawaeleza haya wanachukia bila sababu.
 
Mimi napenda sana mwanamke mwenye nywele zake za asili...manywele ya bandia nayachukia sana aisee. Super big ups to all my au naturale sisters...I love y'all....

thank you soooo much...we luv you too
 
mbona hizi ni fake? yani mi napenda zile natural curl zetu si hizi zimenyooka kama manyoya!
 
kwanza wanatumia gharama nyingi sana kwenye hizo nywele za kichina. Then hawapendezi
 
mimi nikimmega dem huwa napenda kushikilia nywele zake, dem akiwa na bandia utaona ananikataza nisishike, kuna dem mmoja alijisahau...nywele zilitoka zikabaki mikononi kwangu....nilimuona mbaya ajabu
..Teh! tehh!! Game iliendelea au ulimpa wig lake ukafunga kikao? Maana lazima atakuwa na mtazamo tofauti kabisa!!!! Kaaazi kweli kweli...
 
Shout out to all African ladies with their natural hair.....i luv 'em....please say thanks to yo' momma for what they gave u....
 
Back
Top Bottom