Kwa wanaume na wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana

Zainab Tamim

JF-Expert Member
Jan 15, 2015
1,293
578
Udongo (100% Natural) wa asili, Zainab's Natural Super Clay, mzuri sana kwa ajili ya kulainisha ngozi ya usoni na mwilini na kufanya ngozi iwe nyororo na ya kupendeza, sasa unapatikana sehemu nyingi.

Udongo huo wa asili ni wa hapa Tanzania, hauna madhara mwilini, umekuwa ukitumika na baadhi ya makabila ya Tanzania kwa miaka na miaka kulinda na kufanya ngozi zao ziwe za kuvutia.

Udongo sasa tumeweza, kuusaga kuwa kama poda na kuuchuja michanga na unaweza kuupaka kiurahisi zaidi kwenye ngozi baada ya kuuchanganya na maji.

Matumizi

Scrubbing, unaweza kujipaka usoni na au mwililini baada ya kuukoroga na maji safi na kuuwacha ukauke mwilini au usoni na kufanya scrubbing kama kawaida.

Masking, unaweza kujipaka usoni au mwilini baada ya kuukoroga na maji safi na ukauacha kama mask na baada kuuosha.

Face Wash, unaweza kuutumia kama face wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za usoni na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona uso unavyokuwa laini na mvuto.

Body Wash, unaweza kuutumia kama body wash badala ya sabuni zenye makemikali, ni mzuri sana unateleza kama sabuni na hauna madhara, unaondoa vipele na rushes za mwilini na ngozi iliyokufa, mara ya kwanza tu utaona ngozi inavyokuwa laini na mvuto.

Massage, unaweza kutumia kwa kufanyia massage mwilini, udongo ni laini na unatelezza kama sabuni baada ya kuuchanganya na maji safi, faida za kufanyia massage ni utavipata vyote hivyo juu.

Sun Protection, unaweza kuutumia kama sun protection kwa wale wale wanaofanya kazi za juani kwa muda mrefu, unachanganya na maji safi unajipaka na baada ya shughuli zako unanawa tu, inasaidia kulinada ngozi ya ko na jua, vumbi, na kuifanya iwe mororo na yenye nguvu.

Udongo huu ni mzuri sana na huwezi kuusifia zaidi mpaka uutumie.

Wanawake na wanaume wanaojali ngozi zao na muonekano wao wanaweza kutumia udongo huu.

Kwa sasa Aunt Zainabs Natural Super Clay inapatikana mikoa hii, kama upo nje ya mikoa hiyo tunakusafirishia kwa gharama zako za usafiri. Jumatatu tunategemea kuwa utapatikana na Mwanza:

Dar es Salaam

Dar Home Delivery: Eshe
= 0622042778


Kwa maelezo yoyote ya ziada wasiliana na Aunt Zainab 0769302206 au babu Abdul 0625249605

Update: 08-04-2015

Bei za Promotion zimekwisha rasmi 31-03-2015 kwa sasa bei zetu ni 3,500 kwa paketi moja (reja reja). Kwa mawakala bei yao ipo juu kidogo.

 
Watanzania kama nyie zainab ndio wanahitajika, nimependa sana ulivyo iunda na kutangaza fursa ya biashara yako kwani kuna mali asili nyingi hapa tz ambazo kwa ku pakiwa kisasa zina uwezo w mafanikio. nakutakia mafanikio.
 
watanzania kama nyie zainab ndio wanahitajika, nimependa sana ulivyo iunda na kutangaza fursa ya biashara yako kwani kuna mali asili nyingi hapa tz ambazo kwa ku pakiwa kisasa zina uwezo w mafanikio. nakutakia mafanikio

Asante sana, natafuta wenye ujuzi wa branding, packaging na marketing tushirikiane. Bidhaa nnayo na ni nzuri sana kupita maelezo.

Yeyote anaetaka kuijaribu nampa kidogo ya kujaribu bure.
 
Kama hauna madhara unawezaje kufanya ngozi laini!?

Inalainisha kuwa nyororo, haitepeti. Ukitumia hata mikunjo kunjo ya ngozi unaiona inafifia inaifanya ngozi kuwa na afya.

Samahani kama ulikuwa hujanielewa.

Karibu sana ujaribu, huu ni udongo mzuri sana kwa ngozi. Nitaleta sifa zake kitaalamu siku za usoni, huko nje wanautumia na unauzwa kwa gharama kubwa sana.

Ni faraja kubwa sana kuwa hapa kwetu upo na sasa tumeweza kuukausha, kwakuwa kwenye vyanzo unapopatikana huwa ni mbichi na huwa na mchanga mchanga na kokoto, tumeweza kuuchuja mchanga na kokoto na tumeweza kuulainisha na kuwa kama poda kabisa na upo katika hali nzuri sana ya kutumika.

Kazi tuliyoifanya ni kubwa sana. Tuunge mkono kwa kuujaribu.
 
Hivi karibuni tumeona kuwa huu udongo unafaa hata kuondosha na kuzuwia vipele vya kiwembe kwa wale wenye kunyoa.

Unaweza kuupaka huu udongo ukawa ndio shaving cream yako, kwani unateleza kama sabuni. Na baada ya kunyoa unaupaka unauwacha kwa muda na kisha unausuuza.
 
Kwa wale wa Kariakoo, sasa huu udongo unapatikana mtaa wa Nyamwezi na Twiga nyumba ya kona, kuna saloon hapo, ni hapo hapo namba za simu tutaweka baadae.

Na hivi karibuni utapatikana Msasani, Mikocheni, Kijitonyama na Kinondoni, tutawajulisha.
 
  • Heals and regenerates skin tissue
  • Draws out toxins
  • Treats acne (prevents breakouts and helps clear up acne)
  • Unclogs and shrinks pores
  • Prevents blackheads
  • Reduces appearance of scars
  • Excellent natural exfoliator
  • Evens out skin tone
  • Leaves skin feeling softer
  • Leaves your face glowing!
 
Udongo wetu tumeupa jina, na kwa sasa utajulikana kama Aunt Zainab's Natural Super Clay.
 
Huo udongo hapo Kariakoo mnaweza ku deliver nyumbani? Lumumba na Udoe? Kama ndiyo basi nimeku pm namba yangu.

Nataka kuujaribu, kuna udongo nnautumia sasa hivi unaitwa "montmorillonite" nnaununuwa Canada, ni hivyo hivyo unaukoroga na maji halafu unapaka kama liwa, if huo wako ni kama huo basi bi Zainab count me in.
 
Huo udongo hapo Kariakoo mnaweza ku deliver nyumbani? Lumumba na Udoe? Kama ndiyo basi nimeku pm namba yangu.

Nataka kuujaribu, kuna udongo nnautumia sasa hivi unaitwa "montmorillonite" nnaununuwa Canada, ni hivyo hivyo unaukoroga na maji halafu unapaka kama liwa, if huo wako ni kama huo basi bi Zainab count me in.

Leo baada au kesho nitaweka namba za wakala wa kariakoo, utawasiliana nae kama ataweza kufanya delivery.

Ujaribu nina uhakika utafurahika nao, unaanza kuuona uzuri wake mara ya kwanza tu unapoanza kuutumia. Wateja wetu wote wote wanausifia na sasa wanaurudia na kuchukuwa kwa wingi.

Asante sana.
 
Leo baada au kesho nitaweka namba za wakala wa kariakoo, utawasiliana nae kama ataweza kufanya delivery.

Ujaribu nina uhakika utafurahika nao, unaanza kuuona uzuri wake mara ya kwanza tu unapoanza kuutumia. Wateja wetu wote wote wanausifia na sasa wanaurudia na kuchukuwa kwa wingi.

Asante sana.

Ntasubiri, au ntamtuma mtu nnapajuwa pale na mwenye ile saloon nnamjuwa, namba zake tu ndiyo sina.

Ahsante anyway.

Ops. Nakushauri warushie na MMU, kule warembo na vijana wanaojipenda ni wengi. Kwi kwi kwi teh teh teh
 
HUko mmu napaogopa maana nikiwasoma naona kama watanishambulia. Ha ha ha ha ha.

Bi Zainab, jana nimeupata huo udongo wako na nimeanza kuutumia, yah ni ule ule kama niliowahi kununuwa Canada, ni mzuri kweli. Dah Ahsante sana.

Na lile jukwaa la MMU kweli ni rusha roho, lakini usijali hawa wana MMU wengi wanajipenda. Ngoja nikakupigie debe waje kukusoma huku, kama kunshambulia wanshambulie mimi, maana wale kule utafikiri wamewekewa mizizi hawatembei kwingine.
 
Mmeupeleka kwa mkemia kuupima? Isije ikawa una madhara yanayoweza onekana miaka kadhaa ijayo!!!..

Naamini mnaikumbuka DDT nimetolea mfano wa kemikali.

Huu udongo hauna madhara kwani unatumika na makabila fulani ya hapa nchini kwa miaka na miaka, hujipaka mwilini wanapoenda kuchunga kwa muda mrefu ili jua lisiwachome. Wangine hujipaka wakienda kulima kuzuwia jua lisiwachome.

Wanapigia mpaka mswaki kung'arisha meno yao na kufanya kinywa kisinuke. Mpaka wakichubuka hujipaka kuzuwia nzi na wadudu wasinyemelee kidonda na wenyewe wanaamini unaponesha kidonda haraka sana.

Pia ushauri wako ni mzuri tutaupeleka kwa mkemia mkuu ili tuwe na uhakika zaidi. Lakini mpaka sasa wenyeji wa huko tunakoupata ukiwaona ngozi zao ni mororo na zenye kuvutia.

Asante sana.
 
Back
Top Bottom