Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Makamu wa Rais was taifa kubwa USA amempa big up bosi Maxence Melo kwa kunyuka suti kali.
45 Reactions
89 Replies
11K Views
Sabuni ya maji Shampoo hutumika vizuri kama sabuni ya mikono, na ni rahisi kuliko sabuni ya kununua. Tia robo shampoo kwenye kifungashio changanya na maji, tikisa ichanganyike vizuri. Shaving...
6 Reactions
10 Replies
11K Views
Jamani najua mko poa! Hivi siku hizi kila kaka huku mjini naona kabeba begi mgongoni, hayo mabebi ni makubwaa sana, na yamekaa kishamba shamba hivi. Mengi Yao yameandikwa Biowang mengine...
21 Reactions
192 Replies
11K Views
Hongereni kwa kazi! Naomba kujua kwanini watu wengi wanapenda sana kufua nguo zao za ndani bafuni? Tena wengi hufua kwa kutumia sabuni ya kuogea ambayo kimsingi imetengenezwa kwa ajili ya kuogea...
2 Reactions
72 Replies
11K Views
Habarini! M/Mungu aendelee kuwajaalia afya njema! Naomba kujua kuhusu uwepo wa spray ya kusafishia masofa. Inaitwaje na gharama zake zikoje? Ahsanteni
2 Reactions
45 Replies
11K Views
Kwema wandugu naomba nifahamu ivi ni mafuta au lotion gani zuri kwa matumizi ya mwanaume
0 Reactions
36 Replies
11K Views
Kwa wale wanamitindo ni aina gani za nguo kijana (gentlemen) inabidi avae katika hali tofauti?
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Katika pita pita zangu mitaani nimekutana na njia kadhaa zinazodiwa kuotesha nywele kwenye upara, baadhi nimezifanyia majaribio lakini hazikuleta matokeo chanya. Je, ni njia gani ya uhakika...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=28797&d=1304245651&thumb=1&stc=1
0 Reactions
26 Replies
11K Views
Wakuu habari, Ukweli ni kwamba kutinda nyusi na kupaka wanja kwenye nyusi imekuwa ni urembo kwa wadada siku hizi, mimi pia napenda kutinda nyusi na kupaka wanja mwemyewe ila siwezi. Nimekuwa...
1 Reactions
5 Replies
11K Views
Wasalam kama kichwa kinavyojieleza kwa wale ndugu zangu ambao sio wapenzi wa perfumes na body sprays tuambiane Marashi mazuri yakunukia binafsi kuna marashi yanapendeza kwa wadada wa ki Islam...
2 Reactions
11 Replies
11K Views
Habari wakuu.... Mimi ngozi yangu Nyeusi...ila nataka kidogo iwe kidogo niwe mweupe atleast maji kunde... Katika kuulizia wakanambia nitumie LOTION YA VASSELINE.... Sasa sijui inaweza nisaidia??
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Kuvaa vazi la kulalia hasa kwa mwanamke, umuwezesha mwanaume aliyenaye chumbani kutokumchoka. Mwanamke anayevaa vazi la kulalia (night dress), humuongezea thamani katika mahusiano yake. Kuvaa...
9 Reactions
150 Replies
11K Views
  • Closed
Wanajamvi, Naombeni mnisaidie, Nifanyeje ili nguo isiwe na mnato yaani kuna neno wanasemaga sijui 'kushunta', jina lake silijui vizuri ila napata shida sana especially nikivaa pensi yaani...
3 Reactions
56 Replies
11K Views
Fanya mambo yafuatayo ili hali hiyo isitokee tena. √ kata nywele sehem za siri, kisha chukua maji ya ukoko wa ugali unawie sehem hizo zinazonuka( hakikisha unafanya hivi ukiwa umeoga) fanya Mara...
3 Reactions
45 Replies
11K Views
Waungwana nawasalim wote, nikiwa dada ninaependa urembo, nimeona si vyema kuacha kuwajuza hili wapenda urembo wenzangu. ni kuhusu grycelin Ya Zambia, kiukweli ninawashauri wote mnaopenda ngozi...
3 Reactions
52 Replies
11K Views
Nilipataga ajali nikaumia katika shavu langu la kushoto nikawa na kidonda baada ya kupona pakabaki kovu jeusi halitaki kuftika naomba kwa anaejua dawa anifahamishe tafadhari
1 Reactions
20 Replies
11K Views
wamependeza ile kinoma
4 Reactions
22 Replies
11K Views
Kuna tabia ya wanawake na wadada kufunga vibaya minywele yao ya bandia inakera sana, mtu uko kwenye daladala afu ujui umeachia minywele mingine migumu mirasta ya buku inawasha na joto lenyewe la...
3 Reactions
85 Replies
11K Views
Back
Top Bottom