Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Jamani msaada kwa wanaojua mafuta ya kupaka kwenye nywele zile rafu. Yanaitwaje na proces zake.
0 Reactions
42 Replies
25K Views
Habarini wakuu! Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
3 Reactions
8 Replies
946 Views
Naomba anayefahamu mafuta mazuri ya kufanya nywele ziendelee kubaki nyeusi hasa zinapokua 🙏🏽
2 Reactions
7 Replies
2K Views
kataa ndoa uishi miaka mingi ya furaha Damka saa kumi na moja anza usafi wako wa ndani unapo lala deki choo chako vizuri sio kila siku kwa wiki ukifanya siku tatu sio mbaya Baada ya hapo tandika...
12 Reactions
50 Replies
2K Views
Leo nawaletea changamoto nyingine ninayokumbana nayo baada ya kuzungumzia gharama za maji ya kunywa na umeme. Safari hii ni kuhusu gharama za usafi wa nyumba na mwili: a) Usafi wa Nyumba (Eneo...
21 Reactions
67 Replies
4K Views
eti wakubwa mwongozo unasemaje huko kwenu?
1 Reactions
11 Replies
977 Views
Habarini wana Jamvi.. Sawa ndevu ni kero ila zinaheshima yake. Ukifika umri fulani ukawa hauna hii mambo bado utakuwa na wakati mgumu wa kupewa salamu hata na watoto wadogo. Umri unaenda harafu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kaka zangu kujeni dada enu nawaita. Unakuta mkaka mzuri sana, kapendeza akiinama labda kuokota kitu unaona boxer ndani na lijikaptula tena lingine kwa ndani kama ya Man u, Yanga au Liverpool...
56 Reactions
305 Replies
9K Views
Habari yenu wajuzi Je, ukinunua taulo jipya dukani au nguo za ndani kuna usalama wa kuzitumia moja kwa moja au inafaa ufue kwanza? Consideration Nguo za ndani na taulo zilizojaa madukani hutoka...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa Wanaume. Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie? Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi...
7 Reactions
27 Replies
2K Views
Ni Ushauri tu maana Niko hapa Kisarawe wanaccm wameshalipasisha hili vazi Wenzetu wa Chadema Wana zile Gwanda zao kama Migambo Jumaa Mubarak 😀
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Lazima tukubaliane maji sio ya kila mtu. Kuna watu hawapendi tu kuwa karibu na maji achilia mbali kuyatia mwili. Sasa kama wewe ni mmojawapo twende pamoja. Hakikisha una sabuni ya kuogea...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Salam, Kama title inavyojieleza huu uzi utakuwa wa kuelimishana na kushauriana juu ya fitness and healthy living. I'll put my two cents in naamini wadau wataendeleza ili watu wenye goals tofauti...
19 Reactions
416 Replies
57K Views
Mwaka 1993, Ndugu wawili wa familia moja, Richard Makalla (Easy Dope) na Robert Makalla (D Chief) wanaazisha kundi la muziki wa Rap huko Temeke. Kundi hilo linatoa burudani ya muziki kupitia...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Black orchid 2. Ombre leather 3. Oud wood Leta opinions, Ipi ni the best kwa experience yako.
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Parachichi ni tunda ambalo limesheheni virutubisho muhimu kama potassium, amino acids, na protein, ambavyo ni muhimu kwa mwili wa binadamu. Leo, nitazungumzia umuhimu wa parachichi katika nywele...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Ngozi zetu zinakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazoweza kuathiri afya na muonekano wake. Hapa tutazungumzia baadhi ya matatizo ya ngozi kama ngozi ya magamba, ngozi ya mafuta, ukurutu, ngozi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Huko kwenu mnafanyaje? na kwanini? (A) Kila mmoja anafua underwear yake (B) Hakuna formula maalum (C) Mume anafua ya kwake na ya mke (D) Mke anafua ya kwake na ya mume (E) Dada/kaka wa kazi
13 Reactions
138 Replies
4K Views
Wanawake ni kundi lenye majukumu lukuki katika siku, pamoja na majukumu hayo usafi na urembo ni jambo muhimu pia. Wanawake wengi wamekuwa wakizingatia zaidi nywele na uso huku wakiacha miguu na...
12 Reactions
39 Replies
7K Views
Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom