Mafuta ya kutengeneza nywele kuwa rafu

aida sanga

Member
Jun 3, 2016
63
21
Jamani msaada kwa wanaojua mafuta ya kupaka kwenye nywele zile rafu.

Yanaitwaje na proces zake.
 
mie siku hizi natumia bliss naturalist hair stylish gel bei ni 25

zamani nilikua natumia Styling Dredz Mouldin Gel wax yenyewe bei ni 14/15.
ukiwa na twist sponge pia ni vizuri zaidi
nywele zako zina urefu gani??
Hivi twist sponge hamna sehemu zinapopatikana at a cheaper price?..maana dah 25k, 30k hadi 40k...mbahili mie nafwaazz(in lemutuz voice)
 
Mafuta ya 40k? mshahara wangu kwa mwezi,nikikuwowa nadhani hatutajenga bali pesa itaishia kwenye mafuta,dah!
Mafuta 25k halafu kuna kabrashi kama haka hapa chini ndo 40k...tehteh...

images.jpg
 
Hivi twist sponge hamna sehemu zinapopatikana at a cheaper price?..maana dah 25k, 30k hadi 40k...mbahili mie nafwaazz(in lemutuz voice)
haaaaa usifwe
chini ya 4o sidhani. mimi nilinunua kwa Jestina (Zuri) kwa 40 nilikuwa nataka kudata wakati natoa hiyo hela....halafu zile ngumu na imara..we ujikaze tu
 
Kwa vyovyote vile, Mwanaume akisoma comments za hawa Wanawake humu ndani lazima apate BRAIN HAEMORHAGE. A lot of money directed into the hell???....Magufuli tunyooshe Baba!!!!
Sasa hiv wanazikata stlye ya Afro na Lowcut chezea usawa wa Magufuli huu mbwembwe zote zinaisha
 
Kwa vyovyote vile, Mwanaume akisoma comments za hawa Wanawake humu ndani lazima apate BRAIN HAEMORHAGE. A lot of money directed into the hell???....Magufuli tunyooshe Baba!!!!
mkuu 40 ni ela kubwa.... kuna watu wananunua weaving hadi 1M.
 
mie siku hizi natumia bliss naturalist hair stylish gel bei ni 25

zamani nilikua natumia Styling Dredz Mouldin Gel wax yenyewe bei ni 14/15.
ukiwa na twist sponge pia ni vizuri zaidi
nywele zako zina urefu gani??

jamani 14/15 ndio shilingi ngapi hizo?
 
Kwa vyovyote vile, Mwanaume akisoma comments za hawa Wanawake humu ndani lazima apate BRAIN HAEMORHAGE. A lot of money directed into the hell???....Magufuli tunyooshe Baba!!!!
Teh teh...mambo madogo sana hayo
 
Back
Top Bottom