Nimetembea Dar, Mwanza, Mbeya, Dodoma, Tanga na Arusha yenyewe ambako kuna yanayoitwa majiji ya nchi yetu, niseme tu watu wa jiji la Arusha wanaongoza kwa unadhifu na usafi wa binadamu na...
Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ngozi husaidia kuulinda mwili, kutoa taka mwili, kuratibu joto, maji na chumvi, pamoja na kuhisi vichocheo kama vile joto, baridi, miguso na...
Choo ni moja ya sehemu muhimu zaidi katika nyumba inayohitaji kusafishwa mara kwa mara. Usafi wa choo unahusisha kuondoa uchafu na vijidudu vinavyoweza kusababisha magonjwa. Kwa kufanya hivyo...
Asali imekuwa ikitumika kwa karne nyingi kama tiba asilia ya magonjwa mbalimbali, lakini je, unajua kuwa ina faida za ajabu kwa ngozi yako? Kutoka kwa unyevu hadi sifa za kupambana na chunusi...
Habari wakuu...
Hivi hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original...
Mfano kuna jamaa anauza creed aventus mils 100 kwa 55k...
Kuna aliyewahi tumia?
Ubora upoje?
Soski zipo si haba idadi inatosha lakini cha ajabu mara nyingi hazipatikani ninapozihitaji yani nitaishia kupekua huku na kule mwisho naona isiwe taabu naamua kuvaa zozote zilizo hapo jirani...
Ndugu wajuvi,
Ni wapi ninaweza kupata boxers zenye ubora hapa Dar? Nyingi zimekaa kiajabu, zinapauka mapema.
Sasa, nimeona nijaribu hizi za Woolworth(tazama kiambatisho). Je, kuna mzoefu na...
Tunapoanza mwaka 2025, ni wakati mzuri wa kutafakari na kufanya mabadiliko muhimu katika utunzaji wa ngozi zetu. Ngozi yenye afya huathiriwa na mambo mengi ikiwemo lishe, mtindo wa maisha, na...
Wadau hamjambo nyoote?
Leo nadhani nimepewa zawadi ya boxing day.
Nilitoka na familia yangu mimi na mke wangu na mama mkwe ambaye kaja tu kusalimia nikaona si ubaya tukatoka tukaelekea Luguluni...
DADA ANGU MWEMA pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani.
Hakikisha unakihakiki sio kipo mezani mumeo au watoto au...
Good morning jf.....
Kama tujuavo tuko kwenye zama za misambwanda, mahaga, kitonga, wowowo na majina mengine kibao yatumikayo..... Wanawake wasiokuwa nayo wanajikuta katika wakati mgumu sana, nao...
Ndugu zangu watanzania wenzangu habari zenu.
Nimechoka life la kuishi kikolabo na rafiki yangu katika utafutaji wa maisha Sasa naona kuwa wakati sahihi wa kwenda kuanza life langu nikijitegemea...
Kuna vingine sijawahi kujaribu, vingine nimejaribu vikanizidi uwezo....
1: kupaka wanja kwenye nyusi
Huu urembo ulinishinda tangu enzi za mwalimu, kila nikijaribu naona nakua Kama nyau hasa hasa...
Habari zenu wana JF
Poleni sana na Swaumu naimani tunaendelea na Mfungo Mtukufu wa Ramadhani
Ndugu zangu nina miaka 25 Mzee wangu ana Uwaraza kwa Mbele hapa ule wanauita Upara wa Pesa. Sasa...
Wote tunajua umuhimu wa kuoga na kila mtu ana ratiba yake ya kuoga ukiachana na wale wanaooga mara mbili kwa siku Kuna sisi ambao kuoga kwetu ni mara moja tu kwa siku, so ni kuchagua tu mwenyewe...
Ukiwa jikoni halafu ukawa unapendwa sana na ukawa mshikaji wake unasogezewa mwiko unaambiwa onja chumvi kama iko sawa💕😀
Mpe kampani huko jikoni mkipiga stori za hapa na pale. Wanawake wanapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.