Ila huyo mtu aliyevumbua make-up…..sijui hata nisemeje aisee!
Hivi inawezekanaje mtu huyo huyo awe na mionekano miwili tofauti kabisa?
Does make-up somehow someway cause optical illusions?
Kaunda suite ,bugaluu , sasa siku hizi naona watu wapo wapo tu ,hata usipoweka kiraka inaonekana ni mtindo.
Mishono imebaki kwa kina dada tu ,labda na wale jamaa kutoka nyanda za juu,
Wale watu wa perfume uwa tuna code zetu tunapasiana.
Mimi nimekwama kidogo so natafuta perfect ya isizidi 50K ya kiume inayonukia kishefa.
Ukinitajia jina na location ya kuipata nitafurahi...
Wadau kama kichwa cha habari kinavosema mie naomba tushare wote hapa kuhusu hili suala..
Hivi kuna zile nywele zinaotaga katikati ya makalio mawili na huzunguka ile njia ya haja kubwa nadhani...
Jamani ya bidi kuwa makini maana kwa sasa wanaume na wavulana wengi wanapaka na kujipuriza lotion na perfume za kike bila aibu mitaani akipita kama hujamwangalia utahisi kuwa ni mwanamke kumbe...
Habari wakuu,
Kama heading inavyoeleza hapo juu, nataka kufanya research binafsi ili nione kama kuna kipya katika matumizi na gharama zetu katika maisha yetu ya kila siku, Nikisema kipya ni kujua...
Wakuu mimi binafsi natumia colget Advanced whitening kina ujazo wa 75mil si nyingi ila bei yake ni Tsh. 4,500 hii nzuri sana watoto wa Arusha utawakamata sana si unajua yale meno yao.
Je wewe...
Hivi vitu vya fasheni uwa navichukulia poa, kumbe mi bado sana.
Pochi ndogo sana hizi tena pair moja, ila bei CIF + TRA ya gari.
Mimi kununua mkanda Million 2.6 dah bado sana.
Je, sunglasses...
Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu...
JF inaenda viwango vingine vya kimataifa zaidi.. Tunajiribu kupanua wigo wa mijadala na kazi za ubunifu za maonesho mbali mbali za wabunifu kwenye nyanja zote ambao ni maarufu duniani
Kwa...
Hivi karibu msanii Doja Cat amezua gumzo kwenye mitandao mara baada ya kuoiga picha ambazo zitatumika kwenye maonyesho ya mavazi pamoja na majarida ya fashion.
Kwa mtazamo wako mdau, je hii ni...
1.KUOGA
Usafi ni passion yangu toka nikiwa mdogo,japo mama yangu pia alichangia kuniongezea mbinu za usafi.
Kabla sijaoga mie huandaa nguo za kuvaa,kuanzia chupi,suruali,shati,soksi,viatu na leso...
Naomba kujua ni sehemu gani ninaweza kupata haya mafuta kwa mkoa wa Dar es Salaam, maana nimejaribu kuzunguka kwenye baadhi ya maduka nimeyakosa.
1) Vetiver oil
2) Sandalwood oil
3) Spikenard...
Naomba mnijuze ni aina gani ya cream ni nzuri, kwa maana ya kutokuchubua pia yenye sifa za TFDA, inayomfanya mtu kuwa na very clear skin bila chunusi wala harara huku ikimaintain natural color...
Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
Hakikisha ni Secret, ujue pia...
Vipi kuna mtu ameshawahi kutumia hii bidhaa kwa ajili ya kusaidia uotaji wa nywele.
Kwa watu Wenye vipara au kupungua kwa nywele.
Binafsi sina kipara but naona kwenye angle moja ya kushoto...