HABARI NJEMA KWA WAKULIMA.
Hakuna tena kuumiza kichwa kuhusu kutibu magonjwa nyemelezi kwenye mazao yako kama vile manjano, fangasi, na kudhoofika kwa mazao.
Tumia mkojo wa sungura pia kuongeza...
Kwa sasa, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni moja ya miradi inayoshika kasi zaidi Tanzania.
Kila siku tubapokea simu kutoka kwa watu binafsi, taasisi, makanisa, wastaafu na vijana wanaotaka kuanza —...
Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku?
Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna...
Heri ya Wiki Mpya Wafugaji Wapambanaji
Unapoanza wiki hii, Fuga App ipo kukusaidia kufanya ufugaji wako uwe rahisi na wenye faida zaidi!
Makadirio ya Gharama: Jua kwa usahihi kiasi cha mtaji...
Hizi ni kingo za Mto Mara (Rorya). Ukiupita Mto Mara hutajua kuwa unaweza kuua bustani ya mtu. Huu weupe ni Chumvi. Chumvi hii inabebwa na mto toka unakoanzia hadi ziwa Victoria. Kutumia maji haya...
Habari yakO Mfugaji na mdau.
Niko hapa kukupa elimi na ukweli juu ya Ufugaji kuku, achana na zile story za madaktari wa SUA wanaomaliza na degree zao na hawajafanya mazoezi au practical, ukija...
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika...
Habari wakuu,
Naomba muongozo kwa wenye uzoefu,
Je,inaruhusiwa kusafirisha vijiti vya mihogo kiasi,
Kutoka Tanzania kupeleka Zambia ,kama mbegu
Asanteni.
Heri ya Wiki Mpya yenye Mafanikio Wafugaji wa Kuku🎉
Fuga App inakusaidia kujua Faida na Hasara kwenye Shamba Lako la Kuku kiurahisi bila Kupiga hesabu nyingi za kukuchosha ili ujue wapi...
Hebu tuwe wakweli ni raha kushirikisha wenzako kitu kizuri unachokipenda!
Sasa kupitia Fuga App , unaweza kupata zawadi kwa kuwaleta marafiki zako wafugaji kwenye Fuga App!
Fuga App inawasaidia...
🌞 Heri ya wiki mpya mfugaji! 🐔
Anza wiki hii kwa ubora zaidi ukitumia toleo jipya la Fuga App sasa ni rahisi zaidi kusimamia shamba lako, kufuatilia matumizi, uzito wa kuku na faida zako!
📲 Pakua...
Huwezi kuboresha usichopima! 💡
Moja ya changamoto kubwa kwa wafugaji wengi wa kuku ni kutokuweka kumbukumbu sahihi. Unanunua chakula kila wiki, unauza mayai kila siku, na unachoma chanjo mara kwa...
Huu hapa ni mchanganuo wa kulima ekari moja ya mahindi kwa sasa hivi
1. Kukodi shamba ekari 1 - 70,000/-
2. Kulima shamba mara 2 - 60,000/-
3. Mbegu pakiti 6 sawa kg 12 - 72,000/-
4. Kupanda...
Sio siri kwamba kilimo na Ufugaji unalipa, tena sana. Ila unalipa sana kwa watu wenye mitaji mikubwa na uzoefu, so kila kitu kinahitaji discipline na uthubutu.
Ila ikiona mfugaji au mkulima...
🚀 Tulianza kutengeneza Fuga App tukiwa na lengo moja,kufanya ufugaji wa kuku kuwa rahisi,wa kisasa na wenye faida zaidi.
Leo, tunafurahi kusema tupo hatua moja karibu zaidi na ndoto hiyo ila...
Nauliza tu!
Kwa nini wageni ndio wanapanga bei ya kuuza maparachichi?
Jirani zetu wananunua maparachichi kilo shillingi elfu mbili wanaenda kuweka label product of…. Hii ni dhambi kubwa sana...
⭐Tunashukuru Sana kwa kutumia Fuga App!🎉
Kwa kila mfugaji, rafiki na mshirika ambaye amekuwa sehemu ya safari hii kwa kutumia au kuitangaza Fuga App - asante sana.
Imani yenu, maoni yenu, na...
Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako.
Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu...
Anza Wiki Yako kwa Mafanikio,Tumia Fuga App kupunguza stress kwa kufuga kwa Uhakika,Punguza gharama kwa kuwapa Chakula kulingana na idadi na aina ya kuku, Kumbushwa Chanjo za Kila wiki,Fahamu...
Kwa mahitaji ya kilimo cha kisasa na matokeo yaliyo bora. Yanapatikana kwenye mfumo wa kilimo cha umwagiliaji cha grrenhouse
Kwa mahitaji ya greenhouse
Call Us; 0623646674
Email;mooyasin97@gmail.com