Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habarini wadau wa hapa. Rejea kichwa cha habari hapo juu natafuta wanunuzi wa jumla wa zao la mbaazi nimelima Morogoro. Kilo nauza 2000 karibuni kwa anayehitaji au anaye mtu anayehitaji mbaazi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Naomba kuuliza, je, banda la kuku wa kienyeji na chotara linahitaji madirisha makubwa sana au ya kawaida tu? Na katika madirisha hayo, yakiwa wazi halafu kipindi cha masika mvua ya upepo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza Mikoa ya Kusini ya Lindi na Mtwara na Wilaya ya Tunduru hatujazoea mvua za vuli na tunategemea Sana korosho zenye kuhimili joto. Sasa msimu huu sijui itakuwaje maana mvua ya maembe imeanza...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Majuzi nilienda kununua mbolea kwenye Kampuni ya mbolea ETG. Nikaambiwa, mbolea zote zimeandikwa RUZUKU. Hakuna nafasi ya kupata mbolea kwa njia nyingine yoyote. Ikumbukwe kwamba, wapo wakulima...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanajamvi, Mbwa wangu wamekua na changamoto ya kupoteza afya ikiambatana kunyonyoka manyoya na kupoteza uwezo wa kuona kufikia hatua hadi anajigonga sehem kwa kutoona. Kuna...
4 Reactions
45 Replies
11K Views
UBORA WA MBEGU YAKO NDIO UNAAMUA UBORA WA MAVUNO YAKO MBEGU YA TO 135 F1 Sifa Kuu 1. Ina matunda Makubwa na Magumu. 2. Inazaa Sana....Hadi kg 10 kwa mmea mmoja ikitunzwa vizuri 3. Inastahimili...
5 Reactions
28 Replies
16K Views
Naombeni msaada paka wangu mdogo ana mafua Nimpatie dawa gani wakuu?
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nahitaji vazi linalovaliwa wakati wa kurina asali kwenye mzinga. Naomba kufahamu nitakakolipata pamoja na bei yake.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wana JF, Nahitaji njiwa kwa ambae anauza anitafute kwa namba 0744925496 kwa kupiga au sms za kawaida Nipo Dar es Salaam, Kawe. Pia kwa anae fahamu maeneo wanapo uza kwa Dar es Salaam...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka safirisha viazi kutoka Mbeya to Tanga vipi kwa wanaoifahamu inalipa na gunia moja kwa Tanga huwa ni shilingi ngapi? ========== Viazi mviringo (Solanum tuberosum) hupendelea maeneo yenye...
1 Reactions
149 Replies
75K Views
Wadau za mida Naomba msaada kujua bei ya kukodi trekta kwa Dar Es Salaam na pia kama kuna yeyote mwenye mawasiliano ya wapi naweza kulipata untaarifu kwa 0678 151 275
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nahitaji shamba la kulima mpunga kwa yeyote mwenye nia tunaweza ungana au akanikodishia tulime au nilime mpunga
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi broiler nikiwafuga kienyeji, yaani wajitafutie chakula kwani kuna shida gani?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Moja ya mambo ambayo Tanzania huwa hayatangazwi Au kutembea kwa habari zake kwa kasi ni kilimo cha dengu, ngoja nianze kwa sababu kadhaa, ni eneo dogo la nchi linalolima dengu ila huhitaji wake...
4 Reactions
57 Replies
20K Views
Wakuu mwenye kujua changamoto za ufugaji wa kuku wa Mayai na namna kuzikwepa anipe muongozo kidogo kwasababu kuna jamaa mmoja alinisimulia juu juu tu kuhusu ufugaji huo akidai nikiwa na kuku 300...
2 Reactions
6 Replies
14K Views
Mimi naishi Dar najihusisha na kilimo na ufugaji Tuna shamba letu kubwa tu Bagamoyo Fukayose lipo ekari 37 Kuna kipindi tuliweka wafanyakazi tukawa tunalilimia mahindi ila kutokana na changamoto...
1 Reactions
8 Replies
762 Views
HABARINI Wadau kwa anayehitaji mbaazi zipo zinapatikana ni inbox kwani natafuta wanunuzi wa mbaazi au kwa anayefahamu soko lake naweza pata wapi wadau nisaidieni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarini ndugu zangu! Nafikiria kuanza biashara ya ufugaji wa samaki kwa mkoa wa morogoro mjini. Nina passion na ufugaji wa samaki sana ni kitu napenda kutoka moyoni ila najiuliza, Je masoko...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Naombeni kujua ni dawa gani naweza kumpa sungura anayepiga chafya na utando mweupe machoni na ni dalili za ugojwa gani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…