Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Ninayo furaha kuwafahamisha kwamba nimeweza fanya kazi na member kadhaa wa Jamiiforums na ambao sio jf members( ila ni kwa kupitia jukwaa hili walinifahamu),waishio mikoa tofauti tofauti na mmoja...
2 Reactions
59 Replies
10K Views
Habari wakuu, nanshukuru mungu nimenunua kuku wanne wa miezi mitatu shiling 5000 kila moja nategemea kila mwezi kuongeza wengine kumi.malengo yangu nataka niwe nakuku 20 wa mayai. Nimetengeza...
7 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana jamii, Naomba mnishauri, mimi ni mfanyakazi serikalini. Muda mrefu nafikiria biashara ya kufanya lakini nashindwa. Sasa hivi nimeamua kuanza kufuga kuku chotara. Nataka kununua kuku...
5 Reactions
46 Replies
10K Views
Wadau, Nikiwa nahangaika kupata materials ya lishe kwa ajili ya shangazi yangu mwenye kisukari. Nilizunguka soko la mbuyuni Moshi kila kona kutafuta mbegu za maboga sehemu moja nilienda bei Kg...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Kwa wafugaji wa mbwa naombeni ushauri nitumie sumu (dawa) gani kupambana na viroboto Nimetumia kwa nyakati tofauti na kwa ushauri wa watu mbalimbali dawa kama ticks fix, alpha dip, dawa unga ya...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Wakuu naomba maarifa ya jinsi ya kuwazuia vicheche maana wanaingia bandani kwa kuku wanakula mayai. Mahali ninapoishi kuna uzio wa senyeng'e so wanaingia mahali kuku hutaga na kuchukua mayai...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari. Nina vimahindi vyangu kama robo heka hiv vina kama mwezi hivi.Ila wadudu wanavishambulia hatari sana.mwenye uzoefu wa daqa ya kutibu hili( kama kuna njia za asili za...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kampuni ya Blueband ya Kenya ambauo ina product yao maarufu ya Margarine ya kupaka kwa mikate kwa sasa wana zalisha pia mafuta ya kula yatokanayo na Canola. Wamekuwa wanapata Canola kutoka kwa...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamii , nimekuja na fursa hii mpya nahitaji kilo 200 za iliki kwa mkulima na kilo 100 za vanilla kwa mkulima nitakuja kununua shambani kwako malipo no cash tafadhali nitafute kwa...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
HERI YA MWAKA MPYA. Ndugu zangu wataalam wa kilimo,hivi kuna utaalamu wowote unaweza kufanywa kwenye mti ili mti usizae matunda? Nauliza hivi kwa sababu kuna sehemu nimepanda miti ni mizuri ila...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanajamvi naomba kujuzwa juu ya KILIMO CHA MTAMA tangu maandalizi ya shamba hadi uvumaji kwa hekari. Maeneo gani hasa KILIMO hili ni kizuri, masoko na usimamizi. Karibuni wataalamu mtusaidie
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku moja nilikaribishwa na rafiki yangu mzungu kwake,nilipofika kwake nikakuta wageni wengi waliokuja kujumuika kwake. Mambo yakaanzia hapa baada ya kujitambulisha kuwa na fanyabiashara na wazazi...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, kutokana na hali ya hewa kubadilika na mvua kuwa chache nimeona ni bora tupeane updates za maendeleo ya Mazao hapa nchini ili watu wajipange kwa kununua Mazao...
7 Reactions
114 Replies
15K Views
Habarini za muda huu wakuu? Salama? Ninaomba msaada wa bei ya ufuta kwa sasa. Asanteni sana
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Mwaka huu baada ya kuuza mazao yangu natarajia kununua tracta kwa baje isiyo zidi Ml35 Kwa mwenye uzoefu tracta lina lipa zaidi kulima shamba lako binafsi au kukodishwa na kulima...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
Wadau habari za jioni, naomba nijikite kwenye mada Kama inavyo someka, anayejuwa chanjo ya kuku wa kyenyeji tafadhari anisaidie maelekezo
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Aya marofa wenzangu turudi mjini kupumnzika na kuukarisha mwaka
1 Reactions
4 Replies
864 Views
Katika mizunguko yangu nimekutana na mti unaozaa matunda amabao ndani yake ni kama karanga, katika kudodosa mtandaoni nikagundua unaitwa PACHIRA AQUATICA. Mti huu hufahamika zaidi kama mti...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa wale wabishi wenzangu wa kilimo cha kutegemea mvua,waliothubutu kuweka mbegu za mahindi tukutane hapa ili tupeane updates mbali mbali. Mimi nilipanda tarehe za mwishoni mwa mwezi october na...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna kuku waliatamia muda mrefu bila kutotoa. Nahisi hayakuwa na mbegu. Baadae kumezuka utitiri mwingi mno kwenye mazingira yote ya ndani na nje ya banda. Nimepiga dawa kuua wadudu aina ya Rungu...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…