Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Salam Wana jukwaa. Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake. Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao...
0 Reactions
6 Replies
537 Views
Habari wadau wa JF,kama wewe ni unataka kuanza ufugaji wa kuku na unafikiria uanze wapi?....Jibu ni rahisi anza na Fuga App. Itakusaidia kujifunza na kusimamia shamba lako kiurahisi sana Ukiwa na...
1 Reactions
8 Replies
695 Views
Nilikiwa kwenye Mkoa wa Kagera ambapo kuna mwenendo unaoongezeka wa wakulima wa ndizi kutumia chokaa katika mashamba yao. Wakulima hao wanadai kuwa matumizi ya chokaa husaidia migomba kustawi...
2 Reactions
6 Replies
444 Views
Wapendwa Habari zenu Poleni na majukumu ya kulijenga Taifa. Lengo la huu uzi ningeomba kwa wale waliowai kulima nyanya Mkoani Mbeya tupeane ushauri msimu gani wa kulima na vitu gani vya...
2 Reactions
3 Replies
851 Views
--- 🐖📌 ELIMU KWA WAFUGAJI Ugonjwa wa Homa ya Mapafu kwa Nguruwe (Swine Pneumonia) --- 🔍 Ugonjwa huu ni nini? Ni maradhi yanayoathiri mfumo wa upumuaji wa nguruwe. Husababisha shida ya...
1 Reactions
1 Replies
549 Views
Habari za muda huu madaktari.... Nina ng'ombe 2 zinaumwa, ila sijui nini tatizo. Wa kwanza jike. Dalili alizonazo ni kutoshiba vizuri(tumbo halijai), ila anakula kuanzia asubuhi(saa 3 au saa...
3 Reactions
7 Replies
318 Views
Kwa wale ndugu zangu mnaotaka Mbolea ya kuweka mashambani ili kuwauwa wadudu waharibifu wa mazao yote, nakuyakuza mazo kuwa mengi na kupata faida ya ukulima wako Mbolea ninayo nzuri na yenye...
1 Reactions
49 Replies
15K Views
Asalaam, Nilikua nataka kuijua kilimo cha ndizi, Ukiwa na hekamoja pale kiwangwa na Mtaji wa laki tano 1. Unaweza kuotesha mingapi 2. Mda wa rotation 3. Soko likoje
6 Reactions
20 Replies
406 Views
Naishi Mwanza. Shida imenianza tarehe 3/04/2026. Alianza mmoja hali anasinzia akatapika nikamchinja kesho yaka akaanza wingine nikamchinja. Kukapoa kama siku 4 hivi. Leo tarehe 08.04. 2026...
1 Reactions
18 Replies
342 Views
Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya. Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
3 Reactions
2 Replies
287 Views
SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI): Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya...
4 Reactions
2 Replies
837 Views
Mwanongwa leo nimekatiza Mitaa ya Kiwira Wilayani Rungwe lakini nilichokutana nacho ni aibu sana kwa wilaya huu, yaani wauzaji wa ndizi wanapitia wakati mgumu sana kipindi hiki cha mvua, soko...
2 Reactions
17 Replies
410 Views
Wakuu, natumai mko vyema, na kama kuna mwenye madhila Mwenyezi Mungu ampe faraja. To make a long story short, nilikua niko mkoa X for the long good six years nikiwa nimeajiriwa kwenye miradi...
4 Reactions
2 Replies
331 Views
Hello habari. Kampuni ya KENI AGROPARK LIMITED inawakaribisha wote wenye maduka ya pembejeo(agrovets) pamoja na wakulima binafsi kuweza kujipatia mbegu bora za mbogamboga zilizothibitishwa...
7 Reactions
32 Replies
887 Views
Habari wanajamvi. Kuna maeneo ardhi haikubali kustawisha zao fulani na wakati huo hilo zao linalohitajika sana katika eneo la wakazi husika. Mimi niko eneo ambalo ni udongo kichanga sana, mazao...
2 Reactions
4 Replies
490 Views
Natafuta miche ya mwarobaini ya kisasa Nimeiona hiyo miti kwa jirani yangu lakini huko alikonunulia miche wamehama, Shamba lipo Chalinze, natafuta miche kwa kwa maeneo ya Dar na Pwani
3 Reactions
18 Replies
758 Views
KILIMO BORA CHA MPUNGA: A: kuandaa shamba shamba lilimwe vizur na kusawazishwa liwe level (Hallow) Piga dawa ya magugu kabla ya kupanda Kama Bafoseti weka mifereji ya Maji vizuvizur Andaa...
23 Reactions
137 Replies
21K Views
Habari Machief zangu nataka kwenda kufanya kilimo mkoa wa Iringa kijiji cha Idodi - Igula so nisaidieni taarifa zozote zinazo husiana
3 Reactions
4 Replies
191 Views
..Kenya wameanza kuachana na Minazi ya kienyeji East African Tall. ..wamekuja na minazi ya kisasa, mifupi, toka India ambayo ina uzalishaji mkubwa. ..Kuna umuhimu wa Tanzania kutafuta mbegu...
2 Reactions
10 Replies
820 Views
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈. Hilo limenifurahisha sana na nitaenda...
1 Reactions
4 Replies
490 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…