Wakuu,
Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!!
Nataka nifuge hivi sasa!
Kwa...
Baada ya hoja ya Mdau , kuandika Vyama vya USHIRIKA vinavyonunua mazao Lindi hasa Kilwa wafanyakazi wake wanazungusha malipo ya Wakulima ufafanuzi umetolewa na mamlaka zinazohusika:
Mwenyekiti wa...
Tunapaza sauti yetu kwa heshima kuhusu ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi kutoka kilo 50 hadi kilo 75. Uamuzi huu umetuletea changamoto kubwa sana sisi wafanyabiashara...
Kwema!
Mimi ni mwananchi na mkulima kutoka Wilaya ya Urambo, Mkoa wa Tabora. Tunaomba sauti yetu isikike kuhusu mgogoro mkubwa unaoendelea katika biashara ya tumbaku msimu huu. Hali ni mbaya...
Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni sekta muhimu sana Kwa ustawi wa viumbe hai wa Leo na Kesho. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi haviwezi kuleta tija kama Mazingira hayatunzwi na kuhifadhiwa vizuri. Mfano...
Samaki wanasaidia kuleta mbolea yenye gesi kustawisha mazao kama mipunga,mazao ya kumagria kama maji yake ukiweka kwenye majabari ya mpunga.
Hii mbengu ni aina ya kambale ila mtanishukuru inaitwa...
KILIMO KAMA SULUHISHO LA UKOSEFU WA AJIRA TANZANIA: USHAURI KWA SERIKALI KUJENGA TAIFA LA WAAJIRI KUPITIA SEKTA YA KILIMO.
Utangulizi
Tatizo la ukosefu wa ajira limeendelea kuwa moja ya...
Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum.
Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu.
Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china.
Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
Mimi ni mkulima, na ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu kupanda kwa bei ya mbolea, hasa Urea na NPK. Kwa sasa hali imekuwa ngumu sana kwa wakulima kwa sababu hakuna bei inayofanana wala kufuatwa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Kanda ya Ziwa imewakamata wafanyabiashara wawili mjini Bariadi, mkoani Simiyu, kwa tuhuma za kuuza mbolea za ruzuku kwa bei tofauti na ile...
Habari zenu.
Nimepitia kwenye mitandao mingi ya kijamii katika majukwaa ya wakulima naona ni vilio tu. Wakulima wanalia sana juu ya bei mbovu za mazao yao hususani nafaka. Bei zipo chini sana...
Graceful, hardy, and built for the tropics, the White Brahman is admired for its striking white coat, calm expression, and exceptional adaptability. With its loose skin, strong frame, and natural...
Kulima vitunguu maji wakati wa masika kunahitaji kuzingatia hali ya unyevunyevu na udhibiti wa magonjwa kutokana na mvua nyingi. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua:
1. Uchaguzi wa eneo
Ardhi...
Iko hivi wadau. Katika kubadilishana mawazo na mdau mmoja, nikampa wazo kwamba baada ya kuvuna mahindi sasa tugeukie kilimo cha mali mbichi hususan Kitunguu maji. Malengo ni kwamba at least mwezi...
Nauza shamba langu lipo Mkoa wa Pwani, Wilaya ya Kisarawe, kata ya Kisanga, kijiji cha Kitunda.
Lina ukubwa wa Ekari 6. Udonga safi sana wenye rutuba. Lina maji ya kutosha lwa kilimo cha...
Kuna Afisa Kilimo Wilaya ya Magu, Kata ya Lubugu haturidhiki na utendaji wake, ashafungua duka la kilimo na mifugo muda mwingi anautumia kukaa dukan kwake. Bidhaa anazotuuzia mara nying zile za...
Wakuu habari za muda huu.Nilikuwa naomba kufahamu kuhusu upatkanaji wa maeneo kwa ajili ya kufugia mifugo kama mbuzi na ng'ombe.
Sehemu ninayohitaji iwe kama pori ambako nitaweza kuintaract na...
Sipingi kujengwa uwanja wa ndege wa Kimataifa Serengeti, ila kwa hali mbaya ya miundo mbinu ya barabara iliyopo nchini si muda muafaka wala kipaumbele kwa sasa kujenga huo uwanja. Watalii hawaji...
Wadau,
Nilipata kusikia kua kuna vijiji unaweza kuomba uanachama wa kijiji ukawa na wewe ni mwanakijiji mwenzao kisha ukiomba mashamba wanakupa (yoteyote).
Hii nimeisikia kua kuna taratibu za...