Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Jumapili njema. Huu uzi umelenga kutoa fursa kwa wafugaji kuhusu ufugaji wa vunjajungu (PRAYING MANTIS) na masoko yake. Pia unajumuisha ufugaji wa wadudu wengine ambao pia hutumika kulisha...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu, tupeane maujuzi ya kuongeza idadi ya wateja wa hizi bidhaa. Kuna siku namliza gunia la 25kg(magimbi) na siku nyingine znatoka fungu mbili tu daaah Hii ni kwangu tu au na nyie...
2 Reactions
12 Replies
670 Views
Taarifa hii ni kutoka Azam TV siku ya jumapili. Chuo Cha SUA wameweza kuanzisha teknolojia ya mimea inayopandwa shambani na kuweza kuzalisha nyama inayoweza kuliwa na mwanadamu, mhariri wa...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya karafuu kutoka morogoro tuwasiliane bei Tsh 22,000/= kwa kilo. Grade one isiyo na vumbi.
1 Reactions
4 Replies
986 Views
Wakulima wachache wa vijijini watamudu bei ya shilingi 15 elfu kwa mfiuko wa kilo mbili! Hakuna, watatumia mbegu zao ambazo hazina tija na ni za muda mrefu kuweza kuvuna na mvua hizi fupi! Soma...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu zangu habari zenu jamani, mimi kijana Nina miaka 23 naishi Morogoro. Katika harakati za kuhangaikia maisha nimekuja kugundua kijana kama mimi ili niweze kufanikiwa kwa haraka zaidi kilimo ni...
4 Reactions
27 Replies
9K Views
Habari wana Jf! Naombeni anaejua namna ya kutengeneza chakula cha kuku broilers na layers. Hasa zile formulas zinazotumika viwandani kwenye makampuni kama silverlands n.k
0 Reactions
18 Replies
10K Views
Naomba kujua ni wapi maharage yanapatika kwa bei nzuri hususan kwa kanda ya ziwa alafu kwa bei nafuu? Na ni kwa bei gani hyo? Ni kwa kilo au gunia?
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Karibu nikuuzie kuku wa kimalawi 20 wanamiezi 2 na wiki 2 chanjo wamepata kila kuku m1 elfu 15 ni wakubwa nipo tabata mawenzi kwa mawasiliano zaidi nipigie no 0718343299
1 Reactions
3 Replies
490 Views
Nahitaji kulima dagaa Mwanza, hasa maeneo ya Kabuku mkoani Tanga. Kwa yeyote anayeuza eneo au shamba KABUKU -TANGA TUWASILIANE 0713383604
1 Reactions
3 Replies
560 Views
Habari zenu wakuu, Jamani mwenye connection ya mashamba anisaidie, nataka kama heka kumi kwa ajili ya kulima mkonge, maeneo ya Tanga au Morogoro, Yanayouzwa kwa bei rafiki Asante
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Naona bora niingie shamba tu akili yangu ilipofikia. Nataka kuingia kwenye kilimo cha maharagwe Arusha. Je, ni njia zipi zitahitajika kupitia kilimo hiki? Faida, hasara! Angalizi. Mahitaji, Eneo...
1 Reactions
28 Replies
13K Views
Ukuaji wa uchumi wa nchi ni pamoja na matumizi ya teknolojia mbalimbali ili kuongeza uzalishaji na kuinua uchumi wa nchi na maendeleo kwa ujumla. Katika Sekta ya uvuvi, kilimo cha samaki...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Naomba kama naweza saidiwa maswali ya interview ya afisa uvuvi msaidizi.
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Hivi ni kwanini kuku wa kienyeji baadhi wanataga mayai kuwa na rangi tofauti tofauti kwa mwonekano wa nje?
1 Reactions
9 Replies
704 Views
Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba. Shamba lipo Namtumbo Ruvuma. Note: 1. Shamba...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
JINSI YA KUFIKISHA VIFARANGA 1000 WA KUKU WA ASILI Habari ndugu zangu wafugaji pole na majukumu ya kila siku katika harakatu za kutafuta mafanikio Leo nimeona ni vema kushare na nyinyi jinsi...
18 Reactions
66 Replies
20K Views
Je, ni njia zipi bora za ufugaji wa kuku wa kienyeji ambazo basi zitanifanya niweze kunufaika na ufugaji wakuku hao, lakini pia naomba kwa mwenye uelewa na kuku hawa anieleze ni mtaji kiasi Gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu, Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku. Mawasiliano: +255679903535 Napatikana Dar es Salaam Bei: Ndoo ndogo 15,000. Ndoo kubwa 30,000.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom