Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje. Wadau...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndama dume anauzwa. Mbegu ya mrija Ana umri miezi 5 Bei 350,000 haipungui Location :kiluvya gogoni dsm 0715067707
3 Reactions
6 Replies
861 Views
Ningeomba kwa watu wanaojua kuhusu kilimo cha miti ya mbao changamoto, faida, upandaji na utunzaji wake na maeneo gani unatakiwa uoteshe hiyo miti kwa hapa Tanzania. Nitashukuru kwa mawazo wakuu
4 Reactions
19 Replies
4K Views
Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia...
1 Reactions
1 Replies
455 Views
Naanza ujasiliamali kwa kutakq kufuga hao KANGA, BATA BUKINI kwa ajili ya kitoeo na kuuza. Naomba kufahamishwa miiko na mengineyovkuh viumbe hao
4 Reactions
2 Replies
785 Views
TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE Ujazo lita mbili (2L) Call/Text/Whatsapp: +255 714 63 63 75 joackcompany...
0 Reactions
2 Replies
349 Views
TUNAUZA CHUPA ZA KUNYWESHEA NDAMA MAZIWA WE ARE SELLING CALF FEEDING BOTTLE 🍼 CALF MILK BOTTLE 🍼 CALF NURSING BOTTLE Ujazo lita mbili (2L) Call/Text/Whatsapp: +255 714 63 63 75 joackcompany...
0 Reactions
0 Replies
219 Views
Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban. Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu...
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Wiki za hivi karibuni bei ya nyanya ipo chini sana, mfano Dar es Salaam juzi napita sokoni wanauza sado ya nyanya kwa elfu 1. Hii haina faida kabisa kwa wakulima ukizingatia mahitaji ya kulima na...
9 Reactions
42 Replies
5K Views
Kusini mwaka wetu wa kuchekelea ndo huu biashara zitasimama bei ya kilo ya korosho ni 4000 ndo habari ya dunia kwa sasa. Achana na wamakonde kuwanywesha soda mbuzi..huko Mbinga nako kahawa safi...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeingia bandani na kukuta hali hiyo nimechanganyikiwa kabisa
6 Reactions
32 Replies
2K Views
TUNAUZA MASHINE YA KUCHIMBA MASHIMO KWAJILI YA KUPANDA MAZAO MBALIMBALI KAMA MITI, MIGOMBA NK Bei ni 650,000Tsh Call/Text/WhatsApp: +255 714 636 375 joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz...
1 Reactions
3 Replies
799 Views
Habari natafuta mfugaji wa kuku wa layers nahitaji mayai ya kisasa kwa wingi alieko dar au pwani tuwasiliane kwa no 0685104688 au 0627345358
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Nina ngombe wa maziwa anasumbuliwa sana na reccurent mastitis. anakamuliwa kama lita 15 a day! tatizo ni nini na tiba yake ni nini? Nilimfanyia drycow therapy, lakini baada ya kuzaa tu, mastitis...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Nawasalimu wote wana jukwaa, Moja kwa moja kwenye hoja. Nakusudia kuanzisha ufugaji wa Ng’ombe, Mbuzi na Kuku. Naomba kwa wenye uzoefu mnipe maoni yenu, hususani juu ya: 1. Mikoa sahihi kwa...
7 Reactions
99 Replies
11K Views
Yoyote anichek upande huu wa kanda ya ziwa nitampa deteils. Majembe moko ponchi
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu habari Aliwahi kulima kilimo Cha bamia , naomba uzoefu 1. Mbegu nzuri yenye kukua Kwa haraka 2. Mbolea gani nzuri na dawa za kuulia wadudu 3. Upande wa sokoni 4.Kwa heka moja naweza...
2 Reactions
4 Replies
21K Views
Habarini wana jamvi wote. Natumai wote tupo poa, tunajenga taifa. Naomba niende kwenye maada moja kwa moja. Mimi ni mkulima wa mazao ya muda mrefu na mfupi. Sasa mwaka jana nilifanikiwa kulima...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Msaada kwenye tuta. Wakuu ni dawa gani nzuri zaidi kwa ajili ya kuua wadudu wakiwemo mchwa, mende, kunguni na wote wanaotambaa na kuruka.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam wanajamvi,mm nauliza dawa nzuri yakuua nyasi kwenye shamba la kahawa bila kuathiri Miche ya kahawa.naomba kwa walionauzoefu au utaalam juu ya hili suala wanisaidie.nawasilisha
1 Reactions
2 Replies
543 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…