Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

MBUNGE MAVUNDE AKABIDHI MRADI WA SHAMBA KWA WANAWAKE WAFANYABIASHARA WADOGO DODOMA ▪️Mradi wa shamba la zabibu walenga kuwainua wafanyabiashara ▪️Wakinamama wampongeza kwa kuwainua kiuchumi...
3 Reactions
7 Replies
611 Views
Habari! Msaada tutani. Kwenye makazi ninayoishi huku mtaani nina changamoto ya mbwa kula mayai ndani ya banda naamini kama wafugaji wenzangu mmepitia changamoto hii je mliitatuaje ushauri...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Leo Tarehe 30 Jan 25 umefanyika mnada wa kwanza wa zao la Korosho kwenye Ghala la Kuhifadhia Korosho na bei kutangazwa ni Tsh 3,167/= kwa kilo Moja. Tunaendelea kuupiga mwingi.
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi =========
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa zoezi la Utambuzi wa wanyama sasa litafanyika bila gharama yoyote kutoka kwa wafugaji baada ya Serikali kuamua kugharamia zoezi hilo...
2 Reactions
5 Replies
484 Views
Mbolea ya Boron iwe ya maji, au kwenye mifuko tafadhari
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Habari za wakati huu ndugu zangu najua wengi mmesikia kuhusu kilimo cha miti ya mitiki hekari moja inaweza kukuingizia zaidi ya milion 300 kwa hekari moja kwa miti iliyokomaa. sasa basi lipo...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Jumapili, Februari 9, 2025 WAKULIMA WAPEWA UJUZI KUINGIA MASOKO YA NJE https://m.youtube.com/watch?v=g4lX5ji0qBQ Ukosefu wa maarifa na ujuzi miongoni mwa Watanzania, hususan wale walioko katika...
1 Reactions
6 Replies
467 Views
Ziwa Victoria lina umri wa takribani miaka 400,000 na ujazo wake wa kawaida ni kilomita za ujazo 2,760 (2,760 cubic kilometres). Mvua za mwaka jana ziliongeza ujazo wa maji ndani ya bonde la Ziwa...
0 Reactions
1 Replies
539 Views
Natafuta mdau wa kushirikiana nae kufuga kuku dodoma ambae mwenye eneo na nia ya biashara hii mtaji ninao na masoko
4 Reactions
45 Replies
2K Views
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto. 2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa wakati wa manunuzi wa chombo...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Habarini za mchana wanaJF, naomba msaada wa hiki kilimo. Nahitaji kufahamu ni wap kinastawi vizur kwa Tanzania, ulimaji wake, dawa, mbolea, mavuno etc. Natanguliza shukrani.
3 Reactions
26 Replies
10K Views
MIGOMBA - KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi...
18 Reactions
273 Replies
187K Views
AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda. Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa. Sasa kwa...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?
2 Reactions
16 Replies
31K Views
Habari wana JF, Nimeleta uzi huu kwenu ili nipate msaada wa mawazo. Kuna rafiki yangu wa muda mrefu zaidi ya miaka 15 ambaye alinishirikisha kuhusu kilimo cha mpunga huko Tabora. Nilipokea wazo...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Pixie Orange ni yale machungwa tunayaona kwa Super Market yakitokea either Egypt au South Africa au Zimbabwe. Hizo nchi tatu ndio wazalishaji wakubwa wa Pixie Orange Africa. Yale machungwa ya...
15 Reactions
54 Replies
3K Views
Nahitaji fenugreek seed nipo mkoani Mara anayeuza anicheck please
1 Reactions
5 Replies
500 Views
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100...
67 Reactions
2K Replies
862K Views
Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa...
6 Reactions
27 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…