Habari wakuu,
Wapi naweza kupata high quality service ya kuprint stika? Bei ikoje kwa stika moja?
Stika ni kwa ajili ya kubandika kwenye madumu ya mafuta ya kula.
Habari zenu wana jf, nimehamia dodoma hiv majuzi,mzoefu wa mapishi ya kila haina ila napendelea sana kuchoma nyama za kuku na ngombe pamoja na kupika kiti moto,dodoma ni mgeni na natamani sana...
Hamjambo wandugu,
Nimejifunza kupamba kumbi za sherehe. Sina uzoefu sana. Kwa sasa napamba kwa gharama ndogo sana ili kupata uzoefu.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi hii, naomba kufuatana...
MAFUTA YA UBUYU
(BAOBAB SEED OIL)
Ni mafuta yatokanayo na mbegu ya ubuyu {au kokwa}. Hukamuliwa kiini chake na kutoa mafuta. Utafiti huu umefanywa na Kampuni ya Essential Oil ya Afrika kusini...
Turubai
jipya la kuwekea kambi linauzwa kwa sh. 350,000/=. Ni kubwa lenye uwezo
wa kulaza watu 5. Linauzwa lenyewe pamoja na begi lake na vifaa vyake
vyote vya kulisimamishia.
Pia wanauzwa...
Habari zenu wa wadau,naulizia bei za incubators,na pia nataka kujua km naweza kutotolea mayai ya kienyeji,pls mwenye ufahamu juu ya ili afunguke,itasaidia sana.
This is unique opportunity for those who like to learn from winners and successful people in the Network Marketing , John E. FLP Africa Top Distributor is in Dar and tomorrow will give special...
HABARI WANAJAMVI?
Leo napenda kuwashauri kuhusu kutumia cctv n surveilance.
cctv and surveilance ni nini?
Hii ni system inayounganisha security camers, na dvr ambapo mtu aneweza kuona maeneo...
Ndugu wanajamvi naomba kujuzwa taratibu za kukopa Katika taasisi zetu za kifedha upoje kwa dhamana ya title deed/hati ya Kiwanja..
1: Je nahitaji kuwa na business plan ili nikopesheke?
2; Je...
Nia yangu ni kujaribu kujiinua kimaisha polepole, kwa anayejua naomba anisaidie
1) ningependa kujua bei ya kifaranga mmoja na wapi wanapatikana wazuri?
2) je ni mda gani mpaka kukua na kuuza...
Kuna rafikiyangu Mkongo anataka kuwa analeta raw gold tanzania ameshapata utaratibu wa wizara ya madini na TRA sasa yeye anahitaji masoko hapa nchi hana mtaji sana anataka wanunuzi serious,na je...
Salaam wakuu,
Nina shamba Morogoro na ni mara ya kwanza nimeanza kulima seriously. Natarajia mwishoni mwa mwezi wa June 2013 nitavuna mahindi. Kwa mahesabu ya haraka haraka natarajia kuvuna...
Habari wadau! Nimejaribu kufuatilia kuhusiana na kilimo cha mizeituni, naona ni kama hakifanyiki kwa Tanzania, kwa mwenye ufahamu kuhusiana na kilimo hiki na soko lake Tanzania na Afrika Mashariki...
Nina Kheri Kumi Na Tano Za Ardhi Yenye Rutuba Ninamiliki Kupitia Hati Miliki Ya Kimila, Sasa Nataka Kulima Mahindi Na Alizeti, Je Kupitia Hati Miliki Yangu Ya Kimila Naweza Pata Mkopo Bank Yeyote?
Mimi ni mama wa nyumbani nafanya biashara ndogo ndogo sasa kamtaji kangu kamekua kidogo nataka nifanye biashara ya catering services hapa Dar maana ni kitu ambacho nimekuwa nakitamani kukifanya...