How I made over 260,000 US$ in FLP - John E. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How I made over 260,000 US$ in FLP - John E.

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Nxt Millionaire, Jul 18, 2012.

 1. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  This is unique opportunity for those who like to learn from winners and successful people in the Network Marketing , John E. FLP Africa Top Distributor is in Dar and tomorrow will give special presentation of how he made over 260,000 US$ as Profit Share,
  Venue: Belmonte Hotel Mkapa Towers, Posta,
  Date: 19/07/2012
  Time: 2pm
  Entrance: 10, 000/- (Limited spaces, book early to avoid unnecessary inconveniences)
  Call: +255716927070 for booking.


  http://www.flpg.de/fileadmin/user_upload/Download/ViennaTraining/John_Ekperigin_v02.pdf

  Forever Testimonial | John & Justina Ekperigin (Nigeria) - YouTube


  John Ekperigin.jpg


  About John E.
  Before he got into this business, he was a lecturer for over twenty years, with two master degrees (MSc and MBA) and his wife Justina was a practicing pharmacist for over twenty years. They worked hard in order to make their dreams come true but it was difficult to achieve financial freedom until we finally met the opportunity that was real.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  I can see another pyramid-cum-ponzi scheme in the making! Count me out
   
 3. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Use ICT tools at your disposal more effectively.
   
 4. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 3,083
  Likes Received: 492
  Trophy Points: 180
  Great minded people never wait for oppotunity,they create them!!!!!kalagabaho!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  If you cant fight them, join them!
   
 6. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hii ni fursa hadimu kwa wanaopenda kujifunza kwa WALIOFANIKIWA katika Biashara ya Mtandao ama Network Marketing, huyu jamaa anaingiza zaidi ya Dola za Marekani Laki nne kwa mwaka, alikuwa Lecturer lakini hakuwai kuingiza wala kuota kuingiza kipato kama hicho kwa mwaka isipokuwa kupitia Biashara ya Mtandaoa ama Network Marketing.

  Lakini kwa wale wanaopenda kujifunza kwa WALIOSHINDWA ama wenye mtazamo hasi juu ya mafanikio hii si fursa nzuri kwao, watapoteza pesa yao bure, kwani walioshindwa ni wengi mno mtaani kuliko walioshinda.

  Wabongo ukiwawekea ushuhuda wa video ktk youtube wanasema ni maigizo, sasa kwanini usiende ukakutane naye LAIVU?

  Je wajua kwa nini Dr Charles King aliamua si tu kuanzisha kozi hii pale Illinois University, bali kuandika kitabu, mbali ya vitabu vingi vilivyopo, yeye akaiita hii The New Professionals, muda si mrefu elimu hii itakuja hapa bongo na watu watalipa pesa nyingi kuipata.
  book-new-professionals-400h.jpg
   
 7. C

  Cash King Member

  #7
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  I agree network marketing is a valid business but not all companies are valid !!
  ...Niliwahi kua FLP but nikajitoa sababu Hii kampuni na nyngne nyingi zinawaibia sana wananchi.....kupitia compensation plan zao....zimekaa vibaya mno, zimebanwa sana kiasi kwamba wewe uta fail from the very beginning. Na nina mifano hai na solid envidence (USHAHIDI WA KUTOSHA)....Jamaa flan hivi humu JF alinishirikisha na kunielewesha vizuri nikaelewa. Pia aliwahi kuweka thread humu ndani ya jinsi wananchi wanavyoibiwa pesa nyingi kupitia compensation plan ya hizo kampuni....A studied and a proved report internationally ilieleza A to Z on the dirty little secrets about these companies. Wananchi walipiga kelele sana....Hio thread ikafutwa....Ila kama unataka mkanda wote we ni PM ntakuonyesha. Unahitaji akili ya ziada katika kuchagua kampuni thabiti na nzuri ya kufanya nayo kazi......And we have a proven and successful formula on doing this....Yeyote atakae fata formular hiyo hufanikiwa kwenye Network Marketing (Biashara Ya Mtandao) kabisa.

  Goodluck my friends & Thanks in Advance
   
 8. Nxt Millionaire

  Nxt Millionaire JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I can or cannot agree with you, Hii biashara si ya kukurupukia ama kufikiria pesa chapchap, hii yahitaji uwe na moyo wa kusaidia watu ndipo manufaa huja katika kusaidia kwako huko, fikiria watu na mahitaji yao, shida zao kwanza, its a people centered business, enough numbers of people you help succeed the more you succeed, I'm talking of the system and not Company, nimelfanyia utafiti wa kutosha tu. Its not a bad idea if we meet and exchange notices.
   
 9. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 513
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 45

  Sasa malipo ni ya nini iwapo unataka watu wajue ni jinsi gani huyo jamaa alifikia hatua hiyo ya kupata kiwango hicho cha pesa? Kama issue ni kuwaelimisha basi huhitaji kuwalipisha vinginevyo nayo tuiite ni ujasliamali. Yaani kwa kiingilio wewe unapata kula, kuishi na kutunza familia yako. Kweli ujasliamali wakati mwingine inabidi usiwe mtu wa kufikiria in 3DIMENSIONS
  .
   
 10. C

  Cash King Member

  #10
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mi nafkiri tunapishana lugha ndugu....Mimi najua fika network marketing ni nini, iko vipi na inafanyaje kazi. Huhitaji kunielewesha coz ninaijua kuliko unavyofkiria.....Mimi ninacho criticise ni ule mfumo wa malipo sasa....Huo mfumo ndo umekaa vibaya...Jinsi zile bonus plan and the way of compensating people. The network marketing field is amazing and very good....The rules of the game in your company and other companies ziko tite sana and very hard to encourage duplication...kiasi kwamba lots of people don't make it (They don't succeed, only a few succeed). Hii inafanya watu wachukie network marketing na kujenga mawazo kwamba ni Ponzi scheme, pyramid scheme, sijui deci etc. Which is very wrong. In my company the rules of the game are very unique, easy to duplicate and understand and friendly in the whole network marketing industry. Which makes us some sort of a monopoly so far (Inatufanya tusiwe na mshindani mpaka sasa)....Compensation plan yetu ina gurantee ya mtu kutengeneza kipato kisicho na kikomo na kinachodumu kwa muda mrefu......Istoshe hakuna kampuni duniani imeshawahi kuwalipa watu wake mpaka kiasi cha $ 8, 500,000, 000 kwa mtu mmoja (kiasi cha kama Billion 13 za kitanzania kwa mtu mmoja kwa kazi aliyoifanya). Hakuna kampuni duniani iliyowahi kulipa walau mtu wake mmoja kiasi kama hicho, HAKUNA !!....na wako wengi wanaolipwa kwa viwango vikubwa. Sasa hebu niambie hiyo forever living inalipa watu wake pesa kidogo alaf kwa kazi inayobana watu wake at the same time. Binafsi siwezi jihusisha na kampuni ya namna hiyo. Kabla ya kujiunga na hizi kampuni hebu tulia na ufanye uchunguzi kwa kina. Utajua mambo mengi sana !!

  Thanks.
   
 11. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2013
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 680
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Kaka hapo nakubaliana nawe 100% the hardest part is geting a genuine network company
  I would like if u can PM me the data on how to select a good company & any company unayoweza kui-recomend kwetu tupendao maendeleo na sio wizi wa kitapo chetu kidogo
   
 12. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2013
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  If he has all that money then why does he need my 10,000?
   
 13. Verdy CB

  Verdy CB Senior Member

  #13
  Jun 19, 2013
  Joined: Mar 19, 2013
  Messages: 149
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Is dat true?
  Camin kama kuna makampuni ya desing hiyo yenye mbinu tofaut
   
 14. j

  janee Member

  #14
  Jun 24, 2013
  Joined: May 4, 2013
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya ndo makampun fake sasa mbona huyu Cash King kapotea!
   
 15. k

  kenediel Member

  #15
  Jun 24, 2013
  Joined: May 11, 2013
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
Loading...