Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Bila kupoteza muda Nina mashamba ya viazi mviringo vilivyotosha kuvunwa. Napatikana mafinga Iringa *Bei kipeto 1 Cha debe 5 ni ni sawa50000 *Debe 1@ 10000 *Usafiri ni juu yako Nawasilisha wasap no...
1 Reactions
0 Replies
342 Views
Habari za Asubuhi wadaunwa sekta ya Kilimo, Naomba kuuliza je ni siku ngapi mbegu ya tikiti ya sugar queen F1 toka hutumia hadi kutoka ardhini maana ya kwangu ni siku ya tisa bado haijatoka na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello wajasiriamali jf Natumai hamjambo na mnaendlea kupambana kujenga taifa pia uchumi binafsi. Bila kupoteza mda twende na mada yetu tajwa hapo juu.. VIFAA Pumba Box au ndoo NJIA chukua...
10 Reactions
20 Replies
2K Views
Naomba kutoa ushauri wangu kwa waziri wa Mifugo na Uvuvi kuhusu upungufu wa samaki ziwa victoria , Tanganyika na ziwa Nyasa . 1. Umuhimu wa uvuvi. Kama tunavyofahamu uvuvi ni biashara kubwa sana...
3 Reactions
6 Replies
502 Views
Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Dawa za kinga na chanjo nazijua, chakula ni uhakika kwakua kuna mashine ya kukoboa na kusaga unga wa mahindi. Eneo lipo la kutosha na maji ya kumwaga. Mtaji ni kuku 15 niliowakuta hapahapa kwa...
42 Reactions
231 Replies
28K Views
Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Nahitaji kulima karoti, namna ya upandaji yaani mche na mche na msitari na msitari ni cm ngapi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Heshima mbele wakuu. _Nimekuwa najishughulisha na biashara huku shinyanga kwa muda sasa ila kwa hapa nilipofikia matumaini yametoweka na naona giza mbele. kipindi cha nyuma nilifanikiwa kununua...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Watanzani wengi kwanza tukubali hatuna elimu ya GMO zaidi ya story za vijiwe vya kahawa na Tangawizi huko ndio tunalishana matango poli, Pia kwa uelewa wetu mfinyu tunazania GMO ni mazao yasio...
3 Reactions
7 Replies
771 Views
Habari Wadau, naombeni msaada kwa hapa mwanza ninaweza tumia vipi huu mtaj mdogo niliokua nao,angalau nikabiliane na ugumu wa maisha, kwa kuzingatia bado ninasoma sheria hapa SAUT, naombeni mawazo...
0 Reactions
53 Replies
18K Views
Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA...
6 Reactions
10 Replies
922 Views
🔥🔥Chukua kitunguu swaumu kimoja kizima ...twanga na changanya na maji lita 1....hivyo kama maji ni lita 10 utatumia vitunguu 10...kisha wacha itulizane kwa masaa 6...kisha chuja,weka kwenye bomba...
3 Reactions
3 Replies
609 Views
Nina kuku wa mayai zaidii ya 800+.. lakini Kwa Sasa wanashambuliwa na ugonjwaa wakuharaa kinyesi cha njano na cheupee nimetumia dawa za kutosha, ushaurii kutoka Kwa wataalamu lakin wapii sijaona...
3 Reactions
9 Replies
836 Views
UTANGULIZI Habari zenu wanajamvi, kwanza napenda kudeclare interest mimi ni mfugaji mchanga wa Bata, na nilifikia uamuzi wa kufuga bata baada ya maradhi kuwapiga kuku wangu na wakafa wote...
68 Reactions
212 Replies
117K Views
Wadau, Naomba kujua siku zipi ni siku za mnada wa mifugo kwa mkata-handeni, natafuta san ambuzi wa kutosha. Natanguliza shukurani kubwa!
2 Reactions
14 Replies
1K Views
1. Maganda ya ndizi yenye potasiamu nyingi, zika moja kwa moja chini au kwenye safu ya miraba kwa ajii ya mbolea ya asili ya kioevu. 2. Nafaka/mabaki/ maganda ya kahawa zilizotumika zinafaa...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Limeni mazao ya muda mfupi,mwaka wa njaa huu nimepita jana hakuna mvua, mvua zitakata mwezi mei ni mwaka wa wakulima waliovuna kuinuliwa, asanteni
1 Reactions
4 Replies
375 Views
Wadau naomba msaada titanium anayefahamu mnada wa mifugo morogoro kesho Jumatano, Alhamisi na Ijumaa unakuwa wapi?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…