Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wasiliana na 0715816196
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari wanajamii,nakuhakikishia nauza SAMSUNG GALAXY S4 ORIGINAL bei kuanzia laki 9 nipo Masaki,NamangA-guinea avenue kwa mawasiliano ni +255762205187/+255718857143 au facebook-fortunatus tibrus...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji kufanya kilimo cha mbogamboga na ardhi ya kwetu ni mawe ila natarajia kueka udongo juu. Naombeni ushauri, itawezekana?
0 Reactions
10 Replies
14K Views
Ndugu wajasiriamali, kiufupi nlikuwa naomba ushauri wenu juu ya hii idea yangu ambayo inaweza kuwa si ngeni, coz ukipita pembezon mwa barabara hasahasa jijini Dar utakutana na vtalu vya maua na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar za leo wakuu! Napend kuchukua nafac hii kuwaarifu wajasiriamali wenzangu waishio Dsm kwmba kuna fremu maeneo ya cnza darajani karibu tu na njia kuu ya mabasi.kwa ufupi frem hyo nilikuw...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Anayefahamu wapi zinapatikana mashine za kuchanganyia unga (kukanda) zisizotumia umeme. Uwezo na bei za mashine hizo ni muhimu
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Mimi niko dar, kwa yeyote mwenye kujua mahali nitapata vikombe hivyo ambavyo kwa mfano unaweza kutumia kunywea kahawa na kutupa baada ya matumizi. Anisaidie mawasiliano au namna ya kuvipata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa jukwaa hl poleni kwa majukumu. mwenye kufahamu ni wapi au jinsi gani barcode kwa ajili ya product (e.g vyakula vya kusindika kwenye makopo e.t.c ) inaweza kupatikana naomba anisaidie...
0 Reactions
14 Replies
14K Views
Habari zenu wanajamvi! Poleni na shughuli za ujenzi wa Taifa. 6¦6 Naombeni mchango katika hiki. Tsh120000, je! Inaweza kuzalisha Tsh1500, kwa siku? Kama haiwezi tafadhali naombeni mniambie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningependa kufahamu kuku chotara kwa arusha wanapatikana wapi na bei yake ipo vipi.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu wanajf. Naomba mwenye format ya business plan ilioandikwa kwa kiswahili anisaidie tafadhali
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Ukubwa wa eneo eka Mbili 4900m2*2 2. Spacing 45cm x 80 cm (shimo kwa shimo; mstari kwa mstari) Idadi ya miche/ Mbegu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimekuwa nafuatilia biashara nyingi zina kopesheka kwenye tasisi za fedha ila sijawahi sikia wachimbaji wadogo wadogo au wafanya bishara wa madin wandani au exporter kama wana fursa za kukopa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi....katika harakati za kujiongezea kipato nina biashara yangu ya kufuga kuku wa kienyeji shambani kwangu wapatao 120 hivi....tatizo linalonishangaza nimekuwa napata taarifa kwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimetegeneza bada la kutosha kuku kama 30+ nia yangu ilikuwa nifuge kuku wa kienyeji na kuna mtu ameniahidi kuniletea toka shinyanga vijijini kwa 5000@ na nilipanga nianze...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Unataka kutokelezea na maneno ya " sina bifu na mtu " yakiambatana na picha yako, kwa gharama ndogo , kama upo tayari comment “yes” ili nikupe maelekezo.
0 Reactions
0 Replies
938 Views
SUMU MWILINI HUSABABISHWA NA:- JE WAJUA SODA TUNAZOKUNYWA ZINAACHA RANGI KWENYE FIGO COCA NYEUSI MKOJO WA NJANO KAMA COCA UKIWEKA KIPANDE CHA NYAMA BAADA YA SIKU 2 KIMUYEYUKA JE MWILI WAKO? JE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Get Logo,Banner, Letter head,proforma invoice ,delivery note,Tax invoice, and many more different designs for only Tshs 20,000/= per each in a bundle of 10 up to 20 artworks, your most welcome...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Benki ya CRDB inatambulika kama kinara wa uanzishaji wa huduma na bidhaa mpya sokoni ambazo hukidhi matakwa ya wateja. Katika kudhihirisha hilo, sambamba na kuzingatia uhitaji mkubwa wa makazi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Salaam, Nahitaji mkopo wa haraka kutoka kwa yeyote iwapo tutakubaliana masharti. 1. Kiwango kinachohitajika ni10m. 2. Dhamana ni nyumba, ipo jijini Mwanza. 3. Muda wa urejeshaji uwe ni miezi 3...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom