biashara-SAMSUNG GALAXY S4

F

fortunatus massawe

Member
5
0
habari wanajamii,nakuhakikishia nauza SAMSUNG GALAXY S4 ORIGINAL bei kuanzia laki 9 nipo Masaki,NamangA-guinea avenue kwa mawasiliano ni +255762205187/+255718857143 au facebook-fortunatus tibrus massawe,twitter-fortunatu na emaiL-tibrusf@yahoo.com ili uweze kuona picha zake.
 
Ozzie

Ozzie

JF-Expert Member
3,223
1,225
Agent wa Samsung wanauza kwa laki 9 pamoja na warranty ya miaka miwili... Sasa wewe una warranty?
 
muggyen

muggyen

JF-Expert Member
273
195
Wapo hapo wanapouza kwa iyo bei pamoja na warranty
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom