Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habarini wakuu, nina project ya kufuaga niliiyanza muda ila nimebaini changamoto za yule kijana anaekaa pale shambani, naona sio msimamizi mzuri harafu utakuta bata anataga mayai ila yeye...
2 Reactions
8 Replies
817 Views
Changamoto ya ufugaji wa mbuzi hasa wa Maziwa ni quality ya mbuzi, make wengi wamechakachuliwa mbaya na wengine wamepandikizwa na wa Kienyeji hivyo ni full uchakachuaji. Sasa tunaweza pata mbegu...
1 Reactions
1 Replies
510 Views
Wakuu nimetota sehemu. Hivyo sote kwa pamoja tujifunze. Karibuni. Uzalishaji wa mayai ni sekta muhimu duniani kote, na kuku wa mayai wana nafasi ya msingi katika sekta hii. Kuna aina kadhaa za...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakulima hizi hoho nyekundu na njano zina nini special ukiachana na rangi za kuvutia, kwanini zenyewe bei iko juu kuliko za kawaida? Soko la ilala mara ya mwisho nlinunua hoho za kijani kilo moja...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya...
3 Reactions
14 Replies
896 Views
Ng’ombe wa Jersey wana uwezo wa kutoa kati ya lita 15 hadi 25 za maziwa kwa siku 🥛, kutegemea na lishe, mazingira, na huduma bora ya mifugo. Ingawa si wengi hutoa lita nyingi kama Friesian (ambao...
3 Reactions
4 Replies
485 Views
KIfaranga kapata ugonjwa wa mwili kujaa hewa na kuwa kama puto, nini tiba ya haraka ?
4 Reactions
10 Replies
625 Views
Pampu ni Ya Inchi 3 Haijawahi kutumika nilinunua kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji lakini mipango ya kilimo haikwenda sawa. Pampu haijatumika kabisa. Bei 200000/= Location: Ubungo-Dar Es Salaam...
3 Reactions
5 Replies
873 Views
Kwenye hizo picha nimeambatanisha utaona baada ya kuconnect hiyo pump jamaa anamimina maji kwa juu kwenye bomba lililosimama. Naomba kujua umuhimu wa kufanya hivyo. Na pia kuna haja gani ya kuwa...
1 Reactions
3 Replies
442 Views
Ijumaa kareem wana JF Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame...
1 Reactions
0 Replies
419 Views
Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n...
4 Reactions
21 Replies
7K Views
Kilimo cha chai katika Mkoa wa Iringa, Tanzania, kilianza wakati wa ukoloni wa Kijerumani mwanzoni mwa karne ya 20. Wakati huo, mashamba ya chai yalianzishwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
🔥SAZI AGRI SOLUTIONS! 🔥 🌿 SAZI Agri Solutions ni mshirika wako bora katika mapinduzi ya kilimo! Tunakuletea suluhisho kamili kwa mahitaji yako ya kilimo kwa teknolojia za kisasa na ubunifu wa...
3 Reactions
2 Replies
409 Views
🐔Coccidiosis ni Nini? Ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vidogo (coccidia) kwenye matumbo ya kuku. Huenea haraka na kuwafanya kuku wagonjwa! ⚠️ Sababu za Coccidiosis Mazingira machafu (mavi...
6 Reactions
0 Replies
839 Views
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi. Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao. Huu...
18 Reactions
62 Replies
2K Views
Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita...
1 Reactions
7 Replies
895 Views
Wakuu, Binafsi huwa na Bet sana na bahati nzuri nimemuotea muhindi kama Milioni 40 Na sasa nataka kubet kwenye kilimo Mwaka huu naingia shambani kweli kweli sio utani, naingia FRONT na sio simu...
56 Reactions
302 Replies
50K Views
Katika Uzi ulioisha tulielezea jinsi ambavyo Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ulivyo moja ya fursa zenye faida kubwa endapo utaufanya kwa mbinu sahihi. Moja kati ya swali kuu nililopata watu...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
JF salaam 🙏 Bila shaka Kwa wafugaji wa kuku aina hizo mbili mtakubaliana na Mimi kuwa Tangu mwaka Jana katikati kumekuwa na uhaba sana wa vifaranga vya sasso na kroiler Sijajua changamoto ni...
6 Reactions
40 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…