.siku hizi lines za tigo zinapatikana kwa shida sanaa..
..nyingi zinapatikana zikiwa na majina ya mawakala tayari so unaweza tumia hivyo hivyo na jina la mtu au ukachange kwenda jina lako,na itakubidi uwe na TIN NO.,LESENI YA BIASHARA&KITAMBULISHO CHAKO.