Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

wakuu naomba kupatiwa elimu kuhusu mambo ya VIKOBA. nawaomba kuwasilisha.
0 Reactions
0 Replies
871 Views
Heshima kwenu wadau. Naandika kama mwakilishi wa vijana graduates tuloamua kuwa na firm ya kuzalisha maji ya kopo nje ya dar. naomba kuuliza kwenu mahali panapotengenezwa chupa za maji mbali na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi.natafuta soko la viungo vya chai km mdalasini wa unga na mchaichai wa unga.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wana ndugu kwa wale entrepreneur kuna youtube nimeona itakuwa helpful...kuna episode ya kwanza mpaka ya sita,niliona katika pita pita yangu youtube kuhusiana na business plans..its very good ep...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza tray tupu za mayai tsh 350. Piga 0714 045 080.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naamini kuna wajasiriamali wengi tu wapo humu JF ambao wanajishughulisha na kutengeneza logo.kama wewe ni mmojawapo naomba tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani nahtaji kasuku wa kununua ila wawe wale wakubwa kama wanaopatikana congo au brazili...kama kuna mwenyenao aniPM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hello friends.... plz assist me with business ideas that ranges from 2-5million that wil meet daily peoples demand...and incase of starting up a mini supermarket wat wil be the initial capital...
0 Reactions
1 Replies
836 Views
Habari wandugu, Naomba kuuliza wana jukwaa hili, Hivi ikitokea ukapewa shillingi za kitanzania milioni 100 ukaambiwa uzifanyie biashara. Je ni biashara gani utafanya?
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Nahitaji papai kutoka shamba kwa bei ya jumla na isiwe mbali sana na jiji la Dar es salaam.Aweke namba zake hapa.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habar wana jf. Kwa wale wanaohitaji mayai ya kuku wa kisasa, tuna uwezo wa kutoa tray had 20 kwa siku au 100 kwa wiki. Bei ni tsh 6500. Maongez yapo. Karibun sana.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Nimekua nikipitia jukwaa hili mara kwa mara, na ukweli hili jukwaa limenishawishi sana kua mkulima. Nimeshanunua Ardhi sehemu mbalimbali, iliyobaki ni kuanza tu kilimo. Sasa basi...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi. Naomba mwongozo juu ya wapi nawezapata tray ndogo za mayai (mini trays) za kubeba mayai sita(6) na kumi na mbili(12).
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu watanzania! Nina wazo la kufungua kampuni lakini sijui pa kuanzia na nimalizie wapi. Najua wapo wenye mawazo makubwa na nafasi ya kunisaidia niweze fikia lengo langu. Nimechoka na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu wandugu.kuna mtu anatafuta fundi wa kushona mkaz wa Dsm awe na jinsia ya kike.kwa aliyetayar ani pm tafadhali.cku za kuja ni jumamosi na jumapili tu na malipo ni 40000/= kwa cku hzo mbili
0 Reactions
0 Replies
952 Views
Habari wakuu, Nimeandaa eka 2 ajili ya kupanda kitunguu swaumu. Sasa nilipotegemea kupata mbegu imeshindikana. Basically nahitaji kitunguu swaumu kilichovunwa mwaka jana. Kinakua kimekomaa na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza kwale wanaotaga mmoja ni 18000 na mayai ya kware trei ni 20000. Tafadhari tuwasiliane niko mbweni. 0754814800
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu,nimefikiria juu ya wanyama wanaofugwa kwa ajili ya nyama na maziwa. Sijawahi kusikia kuhusu kondoo wa maziwa. Lakini wapo mbuzi wa maziwa na ng'ombe wa maziwa. Maziwa ya kondoo yana shida...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wanajf, ningependa kufahamu mahali ambapo nitaweza kupata shamba kwa kununua ambalo linaweza kumudu kilimo cha matikiti maji au hata mboga za majani,karoti, bilinganya na hoho..Mimi...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Bei 3,50,000/= wasiliana hapa 0714 045 080.
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Back
Top Bottom