Habari zenu wadau,
Swala la ajira limeshakua msala,
Mi nilikua naomba kama tunaweza tukajiunga watu wasiozidi kumi kwanza na kuanzisha magazine yetu ambayo itakua imejaa madini (points) na hata...
Habari wajasiriamali mwenzangu,
Pata kuku wenye zaidi ya Kilo 3 kwa TZS 13000 tu,ni Retired Parent Stock katika species ya Arbor Acer.
Wametuzwa kisasa kabisa,kama utahitaji maelezo zaidi...
Habari wakuu?, mimi nina kiwanja kipo iringa mjini na tayari nimejenga msingi nahitaji kujulishwa kama naweza kukitumia kupata mkopo wa milioni 3 na ninauwezo wa kurudisha laki moja(100,000) kwa...
jamani nina mshahara wa laki mbili tu, na ninamke na mtoto mmoja,hivyo naiona ni pesa ndogo sana make ndo naitegemea kula kuvaa na kila kitu,so nifanye nn ili niweze kujikizi vizuri na kufanya...
Bidhaa zote hizo zilizotajwa apo juu zinapatikana kwa bei poa tu ! laptop zipo dell latitude , hard disk gb 500, ram gb 4, procesor ni core i5, zina web camera, wireless, hdmi na bado zipo kwenye...
jamani natafuta watu wenye shida na kuku wa kienyeji kutoka nauza kwa bei nafuu sana kuku,jogoo mmoja ni shilingi 12000 na tetea shilingi 10000,nipo mbeya ni kuku kutoka malawi.napokea order...
Mohammed Dewji, CEO MeTL Group.
Mo Magic: A Week With Mohammed Dewji, Tanzanias Wealthiest ManBy Uzodinma Iweala
Mohammed Dewji is the third generation of a family of successful Tanzanian...
Kwa wale wanaopenda kuanza kuifanya biashara ya nguo za mitumba au hata kwa wale ambao wanaendelea nayo,napenda kuwatangazia kwamba napokea order ya idadi ya nguo yoyote ile na tunakusafirishia...
Ndugu wadau naitaji mkopo wa laki tatu maAna nina line ya tigo pesa naitaji kuweka mtaji ktk line hiyo tafadhalini mnisaidie mtaji huo then ndani ya mwezi mmoja nakurudishia with negotiable...
Ndugu Mdau
Habari yako.
Kwa muda nimekuwa nikifikiria uwezekano wa mimi kujiingiza katika biashara ya mbao (haswa kutoka Iringa)
Nilichoambulia ni kwamba biashara hii ya mbao.
1.huweza...
Pole na miangaiko ya kidunia.
Nataka mwenye uzoefu na kuuza mtumba ili aweze kuelezea wapi zinapatikana kiurasi zile za jumla(Baro) kwa sababu nataka nianzishe biashara ya nguo za Mtumba.
Kwa wakazi wa Dodoma tunao kuku wa khliwa Xmas hii 2014. Bei ni nzuri kwa kuwa tunafuga wenyewe hakuna mtu wa kati/midddle man. Piga 0656345348. Pia tunauza vifaranga wa umri mbalimbali na...
Kutakuwa na mkutano wa fursa ya biashara kwenye ukumbi wa New Safari Hotel kesho jumamosi(20/12/2014) saa tisa alasiri(15:00).
Kiingilio ni bure.
Kwa mawasiliano zaidi piga 0753499766
Habari wakuu,
Mimi ni member kwenye group moja huko Facebook. Members wanajadili sana mambo ya ujenzi mpaka wamefikia level za kuonana na kufanya vikao kujadili mambo mbalimbali. Hao wadau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.