Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

BY DINFIN MULUPI | ENTREPRENEUR WATCH, FEATURE ARTICLES, ICT, TANZANIA | Nadeem Juma established an international school ten years ago at the age of just 19, and is the co-founder...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mtu wa kunifanyia mentoring or coaching katka harakati zangu za kuanzisha pre-primary school and hatimaye primary school. Ataifanya kazi hiyo tangu naanza mradi hadi tuhakikishe mradi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa anaye hitaji fertilized eggs za KARI basi tuwasiliane, Arusha na bei ni Tsh 30,000/ per trai na minimum ni Trai 5, ni fresh eggs za KARI F1. Chasha Arusha-0767-691071/0783691072
1 Reactions
17 Replies
8K Views
wasalaam. kuna eneo la biashara ya viazi au chips linapangishwa kwa bei nzuri eneo la kimara mwisho kwa kodi ya tsh elfu 90 tu kwa kila mwezi na pia vifaa vyote vya biashara hiyo navyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF habari za Weekend na J3 hii. Wiki iliyopita nilikutana na biashara moja ambao sikuilewa vizuri. Biashara hiyo ni ya Forever Living Products kutokana na mmea wa Alovera. Hebu...
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Wanajamvi nimekutana na Tangazo la Social Credit & Loan Cooperative kwamba wanatoa mikopo kwa masharti nafuu na wanasema haina riba. Naomba anayejua kuhusu hii atujuze ili tuweze kuchangamkia fursa.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari wajasiriamali wenzangu na wanajf kwa ujumla. Mimi niko Dodoma chamwino naomba kuuliza je Dodoma kuna mtu yeyote ambaye anajishughulisha na utotoleshaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Pia ningefurahi kupata mrejesho wako (feedback) juu ya uzi ninazotoa ili nijue pia kama jamii na mlengwa ninaemtegemea amepata elimu unaohitajika,kwa kuacha komenti yako hapo chini kwenye sehemu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nipo mwanza, Nakalibia kustaafu kazi kama miezi 3 ijayo , naomba ushauri ni biashara ipi nifanye mtaji nilionao ni millioni moja Naomba ushauri wenu wana ujasliamali hapa jamii forums
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau hili swala mnalioneje? Huwa napenda sana ku analyse biashara tofauti kila mahali niendapo, kuna swala linanishangaza mara nyingi. Unakuta kuna sehemu mbili ziko eneo moja lakini mmoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1.Funguka Project 2.Mabadiliko Project 3.Tunaweza Project 4. Mshike Mwenzako Project 5.Tumebadilika Project Nakalibisha mawazo yenu wanajukwaa
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni mjasiriamali toka tunduru natamani kufaham je asali ina soko kiasi gani then ni vigezo vp vinapaswa kufuatwa ili kufanya biashara ya asali kisheria.. naamin wadau mtanisaidia ktk hili...
1 Reactions
3 Replies
8K Views
Name: Lily's Company Limited Established: 1991 Main Office: Swahili Street Branches: Dar es salaam & Tanga For more details call/email the company's managing director. Phone...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Wana jf nina mtaji wa milion 47 sasa nataka ninunue costa moja au haice 4 au noha.ambapo nimepiga mahesabu kuwa baada ya miaka miwili ntakuwa nimerudisha mtaji wangu.kma kwa siku nategemea kupata...
1 Reactions
38 Replies
15K Views
Habarini wanajamvi nadhani wengi wenu mshaziona hizi scania mpya (benz) za kampuni ya Bakhressa (Azam) nyingi zikiwa zinapiga route kwenda mikoani. Kuna hela Mungu kanijaalia nataka niwekeze...
3 Reactions
128 Replies
35K Views
Wakuu naomba mwenye kufaamu what and dos katika uwekezaji wake... Natanguliza shukuran
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mayai ya kwale na Kanga na bei zake kwa trei tafadhali wana jamvi
1 Reactions
60 Replies
15K Views
Habari wakuu, nafanya biashara ya kusupply matunda kwa wafanyakazi wa ofisini mkoa wa iringa maeneo ya mjini. Matunda yetu ni fresh na ni mchanganyiko wa matunda mbalimbali na yanakua packed...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Tafadhali nahitaji bata mzinga wa kufuga. Kama kuna mtu anauza aniPM tafadhali
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu nahitaji mkopo wa milioni mbili kwa muda wa miezi miwili,dhamana ni kadi ya Gari . Anayeweza kunisaidia tuwasiliane
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom