Habari Wajasiriamali..!?
Napenda kufahamu kwa Mtu yoyote mwenye kufahamu kibali cha Mazao ya Maliasili kama vile MKAA na ASALI kinagharimu shingapi katika Mkoa Tajwa hapo juu na Taratibu zake...
habari wana jf
kuna dada mmoja mjasiriamali anaomba kuungwa mkono katika ofisi yake inayoshughulika na mambo yote ya printing za bronchures,posters,newsletters,leaflets &...
Ushauri tafadhali kwa wenyeji wa dodoma, kwa hyo fedha ni biashara gani hapa dodoma naweza fanya ili nikuze pato langu ila mimi ni mtumishi wa umma na sijawahi fanya biashara yoyote tangia nimeota...
Habari,
Nimefanya uchunguzi wangu japo kwa kiasi kujua wapi naweza kufungua account ya biashara kwa ajili ya biashara yangu ya ufugaji.Nimeangalia sana NMB na CRDB naona kuna wingi kubwa wa watu...
Naomba jamani mwongozo wa namna kuwekeza katika biashara huku nikiendelea na masomo yangu ya chuo kikuu ili kujipatia kipato cha kuweza kujikimu kielimu na kiuchumi pia.
Wataalamu wenzangu na wajasiriamali wa kiteknolojia,ambao mnajihusisha na uundaji wa mashine za kuangulia vifaranga vya ndege.
bila shaka mtakuwa mnatambua ulazima wa ufungaji kifaa kinacho...
Ninavutiwa Sana Na Kufanya Biashara 2 Tofauti.
1) Kufungua Huduma Za M-pesa, Tigo Pesa Na Airtel Money Na Kuuza Luku. Lakini Sijui Gharama Zake Na Ni Mtaji Wa Kiasi Gani Unatosha Pia Kuna...
Wapo katika muonekano mzuri jike na dume white na chokelate nipo dar wwnalalia mayai yao mawili wwnauzww haraka sana check picha za whats app tunaweza kukufikishia ulipo kama hutowezq...
Wadau naombeni ushauri kwani nina mtaji wa milioni kumi ila tatizo mimi ni mwajiriwa na nipo kwenye position yakusafiri safiri sana kuhudumia mikoa kkumi ila makao makuu yapo arusha na hivyo mda...
Naomba mwenye uwelewa wa zinapopatikana mashine za kusaga karanga kwa ajili ya kupikia groundnut zlzotenegenezwa na sido anijulishe mimi niko mwanza, ahsanten.
Habari wana jamii forum ...mimi ni binti niliyemaliza chuo mwaka jana na nikahitimu masomo yangu ya stashahada ya computer science....na kupata matokeo mazuri tuu ya first class...
Mpaka sasa...
Kuku wa kienyeji wanapatikana kwa bei ya Shilingi 18,000-20,000. Wapo pia kwale wanaotaga, bei ni Sh.10,000. Kwa atakaehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Napatikana Dar. KARIBUNI SANA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.