nimechafukwa
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 290
- 237
Nataka nifanye hii biashara kwenye mikoa kati ya Dar es Salaam, Arusha au Mwanza. Kuna yoyote mwenye ujuzi juu wa hii biashara?
Naomba atujuze
Naomba atujuze
Ujuzi kivipi? haueleweki mbona?
cha kufanya mkuu wewe nunua hvyo vitenge vyako toka kigoma kisha anza kuvisupply hiyo mikoa uliyoitaja
hakuna cha ujuzi wowote hapo maana sijakuelewa unataka ujuzi wa nini kwenye biashara kma hiyo
ujuzi wa kukopesha au upi??