Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari wanaJFwenzangu, Nimepata wazo ambalo nina imani tunaweza kulifanyia kazi tukiwa kama team wawili au watatu na kuendelea. Tanzania yetu (hapa naiongelea Dar es Salaam), wageni wanaotoka...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Je ni kweli Benki kuu imesitisha kutolewa kwa huduma za mikopo Katika Benki zote ikiwemo CRDB mpaka July! Mwenye habari kamili juu ya hili Tafadhali Wakuu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninayo chumvi tani 33 natafuta wateja wa kabanga ili tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wapi hapa dar naweza kupata kuku wa kisasa wa mayai? (Vifaranga) Msaada wenu tafadhalini
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninaomba msaada wa kupata mfanyabiashara wa chumvi aliyepo huko KABANGA, nahitaji kujua bei ya chumvi ikifika Kabanga ili tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Community vicoba loans nkweli wanatoa mikopo ama tizi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Msaada kwenye tuta, nataka kuwa wakala wa vyakula vya kuku hususani vya falcon. msaada wa kupata mawasiliano ya Falcon tafadhali na mwenye kujua njia za kufata kupata uwakala. Nipo Dar.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Wataalamu wenzangu na wajasiriamali wa kiteknolojia,ambao mnajihusisha na uundaji wa mashine za kuangulia vifaranga vya ndege. bila shaka mtakuwa mnatambua ulazima wa ufungaji kifaa kinacho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wadau nihiv kwa mwenye soko au uhitaji wa mayai kwa ajili ya kuangulishia mitamuzia kwa bei ya jumla itakayo mpa faida kama ataamua kuuza rejareja anichuki kupitia 0717209059/0765347508 bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Napenda kutembelea wafugaji wa kuku, nguruwe na mbuzi walioko Mwanza , so kama wewe ni mfugaji na unaweza nikaribisha nikutembelee naomba contact zako ili tuwasiliane Asanteni
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau naamini hamjambo! Kuna Kampuni inajishughulisha na ukopeshaji wa Solar system kwa masharti nafuu sana. Utakopeshwa mtambo huo kwa masharti nafuu na utarejesha baada ya miaka mitatu baada...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Awe na vivid example hata sample images
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Je mjasiriamali anazaliwa au anajengwa?wana jf saidieni hapa
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Example of Hypothesis title; Wanafunzi wanaosoma usiku wana faulu zaidi mitihani yao kuliko wanafunzi wanaosoma mchana, nitakuwa na (Null Hypothesis (Ho) (P<0.001, P<0.01,P<0.05)) na (Alternative...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Example of Hypothesis title; Wanafunzi wanaosoma usiku wana faulu zaidi mitihani yao kuliko wanafunzi wanaosoma mchana, nitakuwa na (Null Hypothesis (Ho) (P<0.001, P<0.01,P<0.05)) na (Alternative...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua bei ya vitunguu mikoani hususani Tanga, Same, Morogoro,Singida na kwingineko. Nataka ile bei ya mkulima sio ya mtu wa kati au mchuuzi/mlanguzi Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha. Wakuu mimi nina pesa lakini sina idea nzuri ya biashara na kuna watu wengine humu jamiiforums wana...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nataka kufungua biashara ya chips nahitaji kuwa na kiasi gani na nifanyie maeneo gani Ushauri wakuu
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za muda wana JF,Mimi ni mjasiriamali mdogo sana wa kuku wa kienyeji..Ila kwa sasa nategemea kukua kibiashara na kuanza kufuga kuku wa mayai na hivyo ninahitaji kujenga mabanda ya kuku wa...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Help me on that
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Back
Top Bottom