Muunge mkono mdada huyu Mjasiriamali wa huduma za uchapishaji (Printing) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Muunge mkono mdada huyu Mjasiriamali wa huduma za uchapishaji (Printing)

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Doyi, Mar 15, 2012.

 1. Doyi

  Doyi JF-Expert Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 4, 2011
  Messages: 754
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 60
  habari wana jf
  kuna dada mmoja mjasiriamali anaomba kuungwa mkono katika ofisi yake inayoshughulika na mambo yote ya printing za bronchures,posters,newsletters,leaflets & flyers,booklets,calenders &diaries,books,headed papers,t-shirts,caps,wheel covers,ID cards,bag folders,banners,flags and many more.ofisi yake ipo kariakoo mtaa wa kongo . kwa mawasiliano namba zake ni 0785-505750 au 0717999090 au kwa email ni shabanirebecca@gmail.com
  asanteni wadau
   
 2. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,274
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280

  Ni vizuri akaweka bei yake hapa ili tulinganishe make kampuni za kuprint ni nyingi sana so ni bora unapoandika humu jaribu kutushawishi kwa vitu vingi, make wengine hatuko Dar so ni lazima atushawishi turuke makampuni yote yaliyoko huku tuje huko Dar kumtafuta,

  Mfano

  1. Ni kwa nini tununue kwa huyu dada na si mwingine?

  2. Kuna kitu gani ambacho ni unique anacho fanya?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,806
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  bei ya nini mkuu?? some products ni customised na bei inategemea products specifications
   
 4. J

  Jake1 Member

  #4
  Jun 3, 2015
  Joined: Jul 29, 2014
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba kujua bei ya flyers
   
Loading...