Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habarini wapendwa, Mimi ni mjasiliamali mpya kabisa na nataka kuanza na kuku wa kisasa wa mayai hivyo naomba mnisaidie yafuatayo, Nataka kuanza na kuku 500(vifaranga) nahitaji mtaji kiasi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kubwa popote nchini ambalo nitauziwa kwa bei poa ili nichimbe bwawa kubwa la kuvunia maji ya mvua kwa ajili ya kilimo. Naweza pata wapi ndugu zangu. MI ninaishi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wapendwa nahtaji kuanzisha biashara ila cna hata chanzo sasa je pride wanakopesha mtu binafsi bila ya kuwa kikundi msaada kwa anayejua
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ajira zimekua ngumu kupatikana siku hizi bila kujali unamjua nani au nini ukijuacho. Hivi vitu kumi vitakusaidia kukuongezea ubunifu na kukuweka katika hali nzuri katika soko hili la kutafuta...
16 Reactions
35 Replies
8K Views
I've always wanted to be a designer and normally,hua nachora designs kisha nishonewe.many ppl including Taylors wenyewe wameniadvice nijifunze kushona...which I agree. So,kwa yeyote anayejua...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Nauza na kufix accessories za computers kama.... Screen za Laptop Battry za Laptop Keyboards za Laptop HDD za Laptops na Desktop Ram memory both Pc repairs & maintanence Windows & Softwares...
0 Reactions
4 Replies
752 Views
Napenda kuwapa taarifa watanzania popote pale mlipo.......ninafanya ujasiliamali na ninawataarifu vijana wote na watu wa rika lolote waje tufanye ujasiliamali wenye tija na maendeleo yetu kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa uhitaji wa mayai ya kuku wa kienyeji tsh10000 tray na ya kware tsh 12000 tray pia kwa uhitaji wa vifaranga chotara kutoka malawi na vifaranga vya kware na mambo mengine mengi kuhusu ufugaji na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman naombeni mnijuze wapi nitapata vifaranga wa kware pamoja na bei zake.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Diathermy erbe icc bipolar inauzwa ni mtumba toka usa ila ni made in germany iko katika hali nzuri.
0 Reactions
2 Replies
613 Views
  • Redirect
Ndugu habarini za muda huu. Shida yangu ni moja tuu, ningependa kujua kilimo cha mpunga hususani idadi ya magunia ninayoweza kuvuna katika eka moja, na gharama zake kwa pamoja, na je soko la zao...
0 Reactions
Replies
Views
Nataka kujaribu kilimo cha bustani ila naiuliza kati ya bamia au nyanya chungu ni zao gani linafaida nzuri na soko la uhakika? nategemea kulima kilimo cha umwagiliaji mkoa wa pwani.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wadau! Ili kukabiliana na changamoto za maisha mbali na kakazi kangu ka serikali kanakonipatia ridhiki ya kila siku, ndani ya miezi michache ijayo nakusudia kufungua duka la viatu na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimepata eneo ni dimbe/swamp nafikiria kupachimba nifuge samaki sehemu yenyewe haina mto karibu ila chem chem zake zinachukua muda kukauka baada ya mvua kwisha mwezi may! naombeni ushauri jinsi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
  • Redirect
Kwa yeyote anayejua bei ya jumla ya pumpers China na ushuru wake kwa contena la ft20 anijuze. Natanguliza shukrani
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Nahitaji kufanya biashara ya kuuza samaki in large scale. Yaani mfano kama kusafirisha kilo 100 hadi 1000 kutoka Mwanza hadi Dar, Mwenye ujuzi na hii biashara anishauri
0 Reactions
Replies
Views
msaada wadau nahitaji fundi mzuri tu wa nguo namba zake kama alishakufanyiaga kazi nadhani itakua vyema asanteni
1 Reactions
25 Replies
7K Views
wana jf naomba mwenye utaalam wa kufuga samaki anijuze, je naweza kufuga samaki sehemu yenye maji yalio stagnant, yaani hakuna maji mengin kuingia na hakuna maji yanayotoka! naomba kujwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naombeni mawazo,nimekusanya 30m nataka kufanya biashara yenye kuhitaji minimum supervision maana nafanya kazi ya kuajiliwa na siwezi kuacha kazi,biashara gani naweza kuanzisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom