Wandugu, kuna shamba nataka ninunue (50 acres) maeneo ya Msanga, Kisarawe Mkoa wa Pwani. Hilo shamba lina udongo mweusi, lipo bondeni. Nimechukua Sample ya Udongo na Maji kutoka katika shamba...
habar wakuu, kwa wanaoufaham vizur mkoa wa geita naomben msaada kuhusu hili,nina lak 5, pesa hiyo nahitaj kuifanyia biashara. sina uzoef wa biashara wara idea kuhusu nifanye...
habari jamvini!mitetea yangu mitano baada ya Kuwanyang'anya mayai na kumpa kuku mmoja alalie hawa walio baki hawajataga tena sasa yapata wiki nne kasoro,inanichanganya sana,
habari jamvini!mitetea yangu mitano baada ya Kuomintang'anya mayai na kumpa kuku mmoja alalie hawa walio baki hawajataga tena sasa yapata wiki nne kasoro,inanichanganya sana,
wadau, naombeni msaada kwa wale wenye uzoef na biashara ya mpsa.nikuwa nahtaj kufanya biashara hyo je inalipa vzur? na utaratbu wake ili kuanzisha biashara upo vp?
Habar wana jf.
Neimekua nikitafta maarifa ya agribusiness kwa muda mrefu..nikakutana na greenhouse ambayo gharama zake ni ghari.
Nmekutana na hii Drip agriculture.
Gharama zake kwa heka...
Emtech ni procts kwa ajili ya kilimo na ufugaji, nimeitumia kwa kuku imeonyesha matunda mema. Kama kuna anayetumia hizo prd, tubadilishane uzoefu. Kwa waliokko mwanza mnaweza kutembea ofisini...
Kwa anayehitaji kufungua nyumba ya kulala wageni, vitanda vinapatikana vilikuwa vikitumika kwa shughuli hiyo ila mfanyabiashara amepata wazo jingine na anahama hilo eneo.
Vipo vya size tofauti...
Habari wana jf. Ninaomba kufahamu kwa yeyote anayejua gharama za kusafisha pori hadi kupata ardhi inayofaa kupanda mazao ni kiasi gani kwa heka moja. Nimennua eneo pwani kibiti na ninatarajia...
Mayai ya kisasa kwa bei ya jumla yanahitajika, bei isizidi tsh 5,500/= kwa trei na yawe makubwa.
Mteja yuko Dar es Salaam na anahitaji trei 50 kila week
Ongea na mteja kwa number hii 0654 163...
Salaam,
Natafuta soko la vitunguu popote East Africa, Niko tayari kuuza gunia kwa Tsh 95,000/= kama order ni kubwa sana mpaka Tsh 120,000/=. ( Bei inaweza kuongezeka yote yanategemea na uko wapi...
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana niliyehitimu chuo fani ya ugavi na manunuzi, kutokana na ugumu Wa ajira niliamua kubuni wazo la Biashara ili nisipoteze muda. Nilifikiria kuanzisha Biashara ya...
Habari za leo wana jamiiforums. Nataka kulima kisasa lakini sina ujuzi wa kutosha katika masuala ya kilimo. Nina mtaji kiasi. Nataka nianzishe kampuni yangu ya kilimo cha mboga mboga. Natafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.