Habari wana JF
Naishi USA nimepata order ya copper, mnunuzi anahitaji 20 au 40ft container.
Wadau mlio serious ni biashara hii wekeni contact zenu, unatuma container likifika ndio malipo...
Nataka kufanya biashara hiyo hapo juu huku ninakoishi.
Kwa wazoefu;
Nahitaji kuwa na mtaji kiasi gani?
Vitu gani vingine vinahitajika?
Asanteni kwa mawazo yenu.
wadau nataka niwe nafanya biashara ya rim msimu wa shule zinapofungua..wakati huo nakuwa nimeshapitia mashule kadhaa na kujihakikishia soko kabla shule hazjafunga..ivo nisaidien ambapo naweza pata...
Naombeni nifahamishwe kuhusu gharama za kusafirisha mbao toka Mafinga kuja Dar es salaam. Je,unafata mtiririko upi ? Je, pia kwa mkoa wa Iringa biashara ya mitumba inalipa?
habari wanajamii wezangu,
ninahitaji kujua ni sehemu gani wanauza mashine za kuranda mbao na ni kwa bei gani Jijiji Dar, uwezo wake na ipi ni bora zaid kwa kuanzia biashara hii!
matumizi yake ya...
Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
Habari ya kwenu wanajukwaa. Naomba uzoefu kwa aliyewahi au anayefanya biashara ya mchele wa jumla kutoka mbeya na shinyanga au Morogoro kupeleka mikoani hasa kilimanjaro.
Nahitaji kufahamu...
Baada ya kupitia post mbalimbali juu ya kilimo biashara nimeona leo niwape ushauri baadhi yenu,nimeona wengi wenu mnahamasika sana na hizi post au mmefanya maamuzi kutokana na hizo post. Sio jambo...
Habari wanaJF. Bado natafuta mtu anayeuza samaki(Sato & Sangara) kwa bei ya jumla Dar es Salaam. Nataka fungua bucha ya samaki. Plz kama uko Dar tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Asante
Achana na manual work leo, Anza kutumia mfumo mpya na wa kisasa kabisa katika kurekodi na kupata ripoti pale unapohitaji....
Cashier Management System for school ndio jibu lako, acahana na...
Baada ya Kuona sehemu ya kwanza kitu gani kinasababisha kushindwa katika biashara ya network marketing, Leo tunaongelea sehemu ya pili kitu gani kinakuweza kukurudisha nyuma ushindwe kufanikiwa...
Wakuu hili jukwaa limekua jukwaa la kusaidiana mambo mengi sana. Msimu huu wa kilimo nimeandaa shamba kubwa la ufuta.shida yangu kubwa natafuta mwakala wanaosambaza hii dawa inaitwa (ROUNDUP)...
Kuna simu nimeagza, imekuwa shipped na DHL, wamenipigia kuwa wamelipia kodi kwa hiyo wanavyokuja kuniletea niandae pesa ya kuwarefund (laki na ishirini), declared value ya hiyo parcel ni kama...
Wakuu,mm ni mjasiriamali niko kwenye kilimo,ila nahitaji kusajili shamba langu kama company limited,nafata taratibu zipi?na pia naomba ushauri wenu juu ya hili ,maana nimeambiwa unapokua na...
Wadau,
Naomba msaada nimeamua kufanya kilimo cha biashara kwaajili ya kujiongezea kipato baada ya kuona upenyo wa maisha ni mgumu sana.
Naomba mawazo yenu na kama unaweza kuni pm
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.