W washeby Member May 28, 2015 32 4 Jul 21, 2015 #1 Wakuu anaefahamu bei ya jola la kitambaa plan cotton % ya kutengenezea batiki na vinapopatikana
ladyfurahia JF-Expert Member May 10, 2011 14,717 9,510 Jul 21, 2015 #2 hello friend nenda kariakoo mtaa wa congo na tandamiti utaona duka la urafiki hapohapo wanauza jola za batik au nenda kitumbini utapata huko mkuu
hello friend nenda kariakoo mtaa wa congo na tandamiti utaona duka la urafiki hapohapo wanauza jola za batik au nenda kitumbini utapata huko mkuu