Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo...
0 Reactions
4 Replies
374 Views
Leo katika group letu la mafunzo tunaendelea na somo letu, ambapo tutachambua aina bora zaidi za ng'ombe wa maziwa moja baada ya nyingine. Tutazungumzia sifa zao, changamoto wanazokumbana nazo, na...
3 Reactions
4 Replies
774 Views
Mfugaji au mtu yoyote unaetaka kuanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa na unatamani kufuga aina ya Fresian, usidanganyike kwa Mabaka 😅 Leo tunaendelea na somo letu maalum kwenye group la mafunzo ya...
4 Reactions
10 Replies
981 Views
Habari wadau wa kilimo poleni na majukumu, misimu ya kilimo hii kama tunavyojua kipindi hichi kumezuka mbolea nyingi sana za makampuni tofauti tofauti za vimiminika (booster) ,na wakulimu...
4 Reactions
12 Replies
784 Views
Usifuge mbwa wa kinyonge fuga mbwa wakatili na gharama kama came corso, pitbull,dogo argentino, rottweiler ambao hata akizaa unauza bei nzuri unapata faida Achana na mbwa koko hawa wala mavi au...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Wanajamii habari zenu ;;?? Heri ya pasaka kwa wale wageni na page hii ni NDARO muuza dagaa kandq ya ziwa kwa hapa jamiforum nafahamika kama mtumishi yaani nawatumikia jamii sio vingine. Yoyote...
0 Reactions
5 Replies
633 Views
Wakuu naombeni anae jua kilimo Cha korosho kinaendeshwaje, bei ya korosho, jinsi ya kuongeza thamani nk
1 Reactions
12 Replies
908 Views
Watanzania wengi nikiwemo mimi tuneisha ingizwa mjini na hawa wahuki walioko Morogoro wanao dau wao ni Sokoine University na wanauza miche kumbe sio kweli. Jana kuna Mzee wangu kanunua miche kwa...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari za Ijumaa kuu ndugu zangu, Nilipata ushawishi toka kwa jirani yangu baada ya kuona nipo na eneo kubwa nifanye kilimo kitanitoa hii ni baada ya kupoteza kazi ili niachane na kuombaomba,sasa...
4 Reactions
8 Replies
580 Views
Kwa ambae ana connection na soko la soya msaada tafadhali. Mzigo upo mwingi.
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Habarini wana JF. Naomba kujua soko la zao la beetroot. Mmea huu ingawa hausikiki sana miongoni mwa watanzania, ukijaribu kwenda sokoni unakuta inauzwa ghali kuliko mboga mboga zingine. Nimewaza...
4 Reactions
6 Replies
578 Views
Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ekari 14 za mpunga kuzihudumia ni gharama wakuu kama wewe ni mkulima wa mpunga unaelewa nini napitia Kwa ufupi mpunga bila maji ni kamari na Sasa mpunga una miezi minne lakini hakuna dalili ya...
12 Reactions
53 Replies
2K Views
Mimi ni ngeni ktk kata ya Kifanya, nilibahatika kupata mashamba ya miti na baadae kuongeza ya parachichi. Eneo nililoongeza lipo kijiji cha mikongo njia ya kuelekea songea. Altitude yake ni m800...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa. Ikiwa utapata...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
To determine whether coffee or potatoes are more profitable per acre in Tanzania based on a one-year output, assuming the farms receive the best services (optimal inputs, management, and market...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau habari. Huu mpapai nilinunua mche mwezi January kama sijakosea. Sasaumeanza kutoa maua kama hayo mnayoona. Michemingine huwa inapotoa maua inatoa maua moja mojaambayo ndo inakuwa tunda...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Siwaiti wakuu, twende kwenye mada. Hawa samaki niliambiwa ni wengi sana huko matema beach na Nyasa mbele huko. Kiukweli samaki ni mtamu na ana mafuta sanani bibi alikua aNaleta. Nilienda mwaka...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Habari JF Nimeamua kufanya maandalizi ya kustaafu kabla ya muda na kuachana na hizi kazi za ofisini ndani ya miaka 5 ijayo. Hatua ya kwanza nimeona ni kununua shamba walau ekari 10 kwa ajili ya...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, naombeni kuuliza ugonjwa wa mnyauko wa majani ya viazi mviringo unasababishwa na nini na tiba gan iinahitajika?
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…