Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habarini Wapambanaji Naomba kuuliza wafugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa kweli au ni watu wanafuga kimazoea? Naombeni majibu in calculation wise maana huyu ndugu yangu kanishika tufuge...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari wadau, nipo Singida nina uhitaji wa idadi hiyo ya vifaranga vya chotara hasa hasa sasso, wenye umri wa siku moja . Kwa wazalishaji na wauzaji nahitaji Na wasilisha. N.B 1. kipaumbele...
1 Reactions
4 Replies
467 Views
Nahitaji kufuga kuku wa kienyeji lakini nahitaji kujua changamoto ambazo huwa zinajitokeza na namna ya kuziepuka.
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani. Mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Nimefanya karesearch kangu private kadogo na yafuatayo ni mawazo yangu kuhusu ufugaji wa mbuzi bila kuchungwa. Nitatumia case ya mbuzi 110 hawa nitawaterm kama "mbuzi wazalishaji" au "parent...
18 Reactions
57 Replies
24K Views
Wewe ni Mfugaji Lakini huwa unasahau Chanjo na Inakusababisha Kuchanja baada ya Ugonjwa Kuingia ,Fuga App inakusaidia kukumbuka Chanjo zako Zote na itakutumia SMS kukumbusha Siku moja kabla na...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Nyasi za Juncao ni nyasi zilizofanyiwa utafiti nchini China, utafiti ulifanywa na Profesa Zin Zhanxi wa chuo kikuu cha Fujian Agriculture and Forestry.Ni hybrid ya aina tofauti za napier na...
22 Reactions
186 Replies
27K Views
JF Hali ya uchumi ni ngumu sana kwa watu wote hasa tunategemea mwisho wa mwezi. Weekend nilijaribu kupiga hesabu za mishahara yangu in next 10 years....ooooooooooops hazikufika hata 500millions...
130 Reactions
892 Replies
409K Views
Kama kuna mtu yupo interested kufanya kilimo cha bustani , mbogamboga. Nichek DM, tufanye kazi Mashamba yapo Maji yakutosha , mto una flow maji through out the year Pump ya mwagilia ninayo...
7 Reactions
1 Replies
362 Views
D-AGRO ENTERPRISES 1. UTANGULIZI D-AGRO ENTERPRISES inajihusisha na uzalishaji, usambazaji wa pembejeo, na ushauri wa kitaalamu kwa wakulima. Imesajiriwa Brela, Tumejikita katika kuinua kilimo...
2 Reactions
2 Replies
375 Views
Wadau wa ufugaji kuku waliopo Dar , nahitaji vifaranga kwa kuku chotara aina ya Kenbro kwa dar kwa sababu lazima nitume kijana aje kukagua parent stock , wakiwa vizuri ntachukua wengi kidogo kama...
3 Reactions
0 Replies
306 Views
Wakuu Tanzania ni nchi kubwa sana na ina resources nyingi sana. Kwa muda mrefu nimekuwa nikiwaza sana hivi tukianza kuwa makini na resources zetu hatuwezi kujikomboa kutoka kwenye umasikini kweli...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
habari ndugu zangu wana jf. nahitaji pea za ndege kasuku kwaajiri yaufugaji, yaani dume2 na jike2 mimi napatikana dares salaam, kwamwenye nao au anae fahamu mazingira yakuwapata kwahapa dar...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
https://www.instagram.com/reel/DMhiReEvsPa/?igsh=MWlmenBqbHVrbHd0cw== Wafugaji wenzangu miaka mingi nyuma ilitengenezwa makala hii
0 Reactions
0 Replies
222 Views
Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta...
3 Reactions
3 Replies
490 Views
Wakuu, Kuwekeza mamilioni kwenye kilimo pasipo kufuatilia afya ya udongo wako ni kama ku-bet. Vifaa vya kujipimia udongo siku hizi ni vingi kwa bei rafiki na maelezo yake yamejaa You Tube...
2 Reactions
7 Replies
496 Views
JINSI YA KUJITENGENEZA CHAKULA CHA KUKU NYUMBANI KWA AJILI YA KUONGEZA UZALISHAJI Kutokana na kuongezeka kwa gharama za chakula cha kuku iwewawia vigumu wafugaji wa kuku kupata faida kupitia...
17 Reactions
97 Replies
89K Views
Salaam, Kama kichwa kinavyojipambanua, naombeni usaidizi wa mawazo juu ya ufugaji sungura ( kwa size ya kati, sio mdogo wala mkubwa sana) na zaidi nisaidieni ni wapi naweza Pata soko la uhakika...
2 Reactions
7 Replies
528 Views
Habari Guys, natumaini mpo salama. Mimi ni mgeni wa kilimo, naomba kuuliza... ekari 6 za kikimo cha muhogo, kilicho tunzwa kawaida, kina wastani wa chini wa gunia ngapi? Nineuliza sababu...
3 Reactions
5 Replies
628 Views
Hapa no kilimo cha matunda, mbogamboga na baadhi ya mazao ya chakula Huhitaji tena kwenda kununua mboga zisizo salama.. Na wala huhitaji kulalamika kuwa huna eneo la bustani
8 Reactions
87 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…