Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakulima tunazama kwenye dimbwi la umasikini. - JamiiForums Wakulima tunazama kwenye dimbwi la umasikini.
0 Reactions
0 Replies
884 Views
Nimelima matikiti maji kwa mara ya pili sasa, changamoto yangu juu ya utiaji wa mbolea ya viwandani katika miche. mana inakufa sana nikishatia mbolea. Natumia kizibo cha take away kama kipimio...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Walio wengi hawajui ni kuchi gani anafaa kufuga kwa wakati uliopo. Karibu tujifunze kuchi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa na wataalamu wa mifugo huu ni ugojwa gani?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba ushauri ng'ombe wangu anajinyonya maziwa nikichelewa kumkamua na kuta maziwa yote yameisha nifanyeje asijinyonye? msaada please!
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari wadau.. Naomba kuuliza kwa wakulima wa matikiti. Nimelima sana tikiti lakini wakati wa kiangazi ambazo huwa nakata maji kuanzia siku ya 50 mpaka 55. Nalimia maeneo ya Kigamboni. Je...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wana jf natumaini mnaendelea vizuri naomba kujua ni aina gani ya kilimo cha biashara ambacho kina lipa na chenye soko na upatikanaji wake (mbegu)
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu. Poleni na mihangaiko. Wakuu tupo vijana wawili sisi ni wanafunzi kutoka vyuo tofauti UDSM na SUA tumekaa pamoja na kuamua rasmi kuingia katika kilimo wote tulikua JKT mwaka fulani...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za Jioni wakuu. nategemea kuanza kupanda matikiti maji na pili pili hoho wiki ijayo. Wakulima wengi kwenye enao nililopo wamehsauri wakati wa kupanda nitumie mbolea ya kuku am samadi...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Wakuu habari za masiku wakuu nimelima mapapai nikafikiria kwenye zile nafasi nilizoacha baina ya mche na mche ni mipana sana nikaona niweke hapo mboga za majani kuna athari zozote kwenye hiyo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nahitaji kujua kuhusu ipi ni mbegu bora, gharama yake, namna bora ya kupanda, inachukua muda gani mpaka kuvunwa, na soko ikibidi asanteni.
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Anaitwa Maui, nilimchukua akiwa mdogo kabisaa. Kwa kipindi cha ukuaji hapo nyuma kulikuwa na watoto wa jirani walikuwa wakicheza nae na mda mwingine walikuwa wakicheza nae vibaya kwa kumpiga hali...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF naomba anaefahamu contact address ya hii kampuni( Irvines Tz Ltd) ya vifaranga vya kuku anipe hapa. Ni kampuni mpya makao yake ni kule Zimbabwe lakini nasikia wamefungua kampuni huko...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote...
23 Reactions
27 Replies
6K Views
Naombeni ushauri wenu mimi ni mhitimu wa chuo. Nahitaji kujiajiri kwenye kilimo....changamoto sijapata zao ambalo ni la moja kwa moja kulifanyia kazi..naombeni ushauri wenu... Niko mikoani.. Ardhi...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Kama nlivyosema ni mkulima lakini pia ninaweza kuwa dalali kwa huu muda ninaosubiria kuvuna nahitaji mtu mwenye interest ya kuwekeza kwenye uchuuzi wa matikiti kupeleka Nairobi au Zanzibar sifa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwaka huu 2018, hakuna mtu au kikundi waliopanga kwenda kwenye maonyesho ya kimataifa ya kilimo Nairobi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu wakulima hii jamii ya watu wanajiita wafugaji hasa wa kabila la kimasai wamekuwa ni kero sana kwan mara nyingi wamekuwa na tabia zisizo za kiungwana mara nyingi huingiza mifugo yao...
3 Reactions
19 Replies
9K Views
Kuku mwenyewe katotoa leo leo! Kuna tiba/kinga ya kuwafanya vifaranga hao wote wakue? yaani hata kama kifaranga akifa, afe kwa kuangukiwa na ndoo au jembe, ila sio afe kwa ugonjwa. NB; Naishi...
2 Reactions
50 Replies
13K Views
Habari wadau humu ndani. Nina shamba lenye ukubwa wa eka 30 Wilaya ya Mkuranga ndani ndani huko. Mipango yangu ni kupanda mazao ya kudumu eka 20 kati ya hizo 30 msimu wa masika yajayo. Naomba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…