Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote
a)KUFANYA KAZI KWA SIMU KATIKA HATUA ZA MWANZO NA UVUNAJI
Moja ya sehemu zinazohitaji uangalifu na usimamizi mkubwa ni upandaji na palizi ya mwanzo na mwisho katika uvunaji.Ikumbukwe kilimo ni timing inahitaji akili za hali ya juu kufanyia timing kuanzia kupanda adi palizi.Wote tunajua mwenye uchungu wa mali ni mwenye mali.Hakuna mtu atakaejitoa kwa ajili yako hata siku moja.Niliwai kulizwa wakati nikituma hela za kuongezea shamba yeye akawa analimia kwake.Nikakuta kipande cha heka moja nilicho ongeza hakijaguswa hata kidogo.Ila akiwa anajibu kwenye simu "Aaah huku kazi inaenda vizuri sana mkuu"
So inahitaji ukalibu wa kukagua mara kwa Mara. isimuamini mtu sana itakula kwako
b)KUANZA NA PROJECT KUBWA BILA KUA NA UZOEFU NAYO
Hua nafatilia mijadala ya watu kua alivyosikia tu mahindi hutoa gunia 50 kwa heka then mtu anaingia mazima kwa kulima heka 100 bila kua na uzoefu hata kidogo,hajui ardhi ya pale ipoje,climate n.k.Kwangu mimi ili ni kosa kubwa sana.Kama unadream za kufanya project kubwa jaribu kidogo kwanza,unataka kulima heka 100 lima heka 2 au 5 kwa kujifunza kwanza na uzisimamie mwenyewe kwanza,upate ABC practically.ujue alternatives mbali mbali.Hakuna njia rahisi hata siku moja
c)KUJIWEKEA VIWANGO VIKUBWA VYA MAVUNO(maximum profit)
'
Hua nafatilia mijadala ya watu wanapopewa michanganuo ya kwenye makaratasi wanaichukulia kama ilivyo na kuamini itakua hivyo.Kwamba heka moja inatoa gunia 30-50 za mahindi jamaa akishapiga maesabu atapata milion 15 uku katumia laki 8 anaamini ivyo.Asipopata anaanza kulaani kilimo na kukatisha watu tamaa.Kilimo sio magazijuto ukijumlisha na kutoa lazima utapata unavyotaka wewe.So ukipewa michanganuo lazima ujiwekee na viwangu vyako(minimum profit).Cha msingi ufanye kazi yenye kukupa faida sio ulioipanga wewe,ila itategemea na eneo.mfano mwaka 2007 kakaangu alilima heka 1 alipata gunia 5 za ufuta kwa heka moja mimi nililima eneo lile lile mwaka unaofuata nikaambulia debe kumi(gunia na nusu) ila nikipata faida kubwa tu.
kifupi usiweke matarajio makubwa saana ya kuanza na kimtaji cha laki 5 kesho uamke uwe dangote wa bongo.
"development is a gradual process"
kama unazijua sababu tunazosababisha wenyewe ongezea
nawasilisha