Nahitaji kujiajiri kwenye kilimo

kasweswe

Member
Aug 25, 2018
42
19
Naombeni ushauri wenu mimi ni mhitimu wa chuo. Nahitaji kujiajiri kwenye kilimo....changamoto sijapata zao ambalo ni la moja kwa moja kulifanyia kazi..naombeni ushauri wenu... Niko mikoani.. Ardhi ipo ya kutosha na maji yapo ila financial status ya wakaz wa huku sio nzuri sanaa... Naomba kuwasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkoa gani upo boss maana unaweza ambiwa lima mbaazi kumbe ulipo hazistawi
 
Hahahaaa!wanaleta data za watu wasiojulikana wazee wa keyboard noma sana

Sent by Diaspora
😂😂utakuta wanaeleza bila kusema huwa kuna ukame, magonjwa na kukosa masoko na njia za kujikinga na hizo chachu za utafutaji kupitia shamba
 
Mkuu nahtaj wazo la zao linalofanya vzr sokoni either ktk local market or distant one

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi binafsi nitakushauri uende sokoni kwanza ili ujue mahitaji ya soko yakoje!

Mfano kwa watu wa dsm wanakula sana mihogo( uswazi na maofisini) maana siku hizi watu hawataki kula chapati na kujaza korie mwilini!

Kama una eneo ambalo liko karibu na mkoa huu wanaokula hii kitu basi tafuta mbegu za muda mfupi( 8 months) unaingiza sokoni!

Bei ni 3/4 pcs kwa 1000/=
Kumbuka kuchukua cuttings ambazo ni salama yakiugua hakuna dawa utakuwa umekula loss kwa hiyo uwe makini kuchagua mbegu!
 
utakuta wanaeleza bila kusema huwa kuna ukame, magonjwa na kukosa masoko na njia za kujikinga na hizo chachu za utafutaji kupitia shamba
Walio wengi wana data za kutosha wakati hawajawahi hata kupanda ukoka nyumbani hata ile miti waliyopewaga shuleni waimwagilie ilishakufaga kitambo

Sent by Diaspora
 
Mkuu mimi binafsi nitakushauri uende sokoni kwanza ili ujue mahitaji ya soko yakoje!

Mfano kwa watu wa dsm wanakula sana mihogo( uswazi na maofisini) maana siku hizi watu hawataki kula chapati na kujaza korie mwilini!

Kama una eneo ambalo liko karibu na mkoa huu wanaokula hii kitu basi tafuta mbegu za muda mfupi( 8 months) unaingiza sokoni!

Bei ni 3/4 pcs kwa 1000/=
Kumbuka kuchukua cuttings ambazo ni salama yakiugua hakuna dawa utakuwa umekula loss kwa hiyo uwe makini kuchagua mbegu!
Mkuu niko songea so far from the city......kuisafirisha itakua extra cost ambayo nitalazimika kuingia loss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,
Mimi ni mkulima wa mbogamboga na mfugaji pia, kwasasa nalima Cabbage(kilimo cha umwagiliaji) na bei yake ni nzuri sana sokoni kuanzia mwezi wa kumi mpaka wa kwanza though sina experience ya Songea..
Soko langu hasa ni Kenya na Arusha
Nakushauri yafuatayo
1.Fanya utafiti wa masoko ya mazao hasa mbogamboga(zinalipa sana)
2.Nenda field(mkulima ) mwombe umsaidie kujitolea kwake hata wiki moja(lengo ni kujifunza kwa vitendo, utajua mengi na yatakusaidia sana)
3.Andaa rough budget ya mradi
4.Anza mradi. Usisubiri pesa nyingi anza taratibu na ulichonacho
Ukifanya hivyo utanipa mrejesho soon
Kilimo hakiongopi.!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
.
IMG_20180824_124054.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom