Naomba msaada wa kilimo cha mchicha

tendega

Member
Jun 19, 2013
61
13
Nahitaji kujua kuhusu ipi ni mbegu bora, gharama yake, namna bora ya kupanda, inachukua muda gani mpaka kuvunwa, na soko ikibidi asanteni.
 
Mchicha ipo aina tatu.

Kuna mchicha unaitwa gwasi ni mchicha wa kienyeji huu kuotesha kwake unasia kwenye kitalu kisha unakuja kungoa na kuotesha kwenye tuta liloandaliwa.

Kuna mchicha unaitwa lishe huu unarusha kwenye tuta liloandaliwa na inachukua siku 21 kuvunwa mbegu yake kg 4000
Mbegu nyingine supa na yenyewe kama lishe ila lishe ndo inafanya vema sana...
Kwa maelezo zaidi 0755404226

Pia Mimi ni mkulima wa mboga mboga na papai na nauza miche hybrid
 
Asa
Mchicha IPO aina tatu
Kuna mchicha unaitwa gwasi ni mchicha wa kienyeji huu kuotesha kwake unasia kwenye kitalu kisha unakuja kungoa na kuotesha kwenye tuta liloandaliwa

Kuna mchicha unaitwa lishe huu unarusha kwenye tuta liloandaliwa na inachukua siku 21 kuvunwa mbegu yake kg 4000
Mbegu nyingine supa na yenyewe kama lishe ila lishe ndo inafanya vema sana...
Kwa maelezo zaidi 0755404226

Pia Mimi ni Mkulima wa mboga mboga na papai na nauza Miche hybrid
Asante sana,unapatikana wapi
 
Nahitaji kujua kuhusu IPI ni mbegu bora,gharama yake,namna bora ya kupanda,inachukua muda gani mpaka kuvunwa,na soko ikibidi asanteni
Mchicha huchukua wiki 3 mpaka 6 kuanzia kupandwa mpaka kuvunwa. Vipi umefikia wapi ndg ktk utekelezaji?
 
Mchicha IPO aina tatu
Kuna mchicha unaitwa gwasi ni mchicha wa kienyeji huu kuotesha kwake unasia kwenye kitalu kisha unakuja kungoa na kuotesha kwenye tuta liloandaliwa

Kuna mchicha unaitwa lishe huu unarusha kwenye tuta liloandaliwa na inachukua siku 21 kuvunwa mbegu yake kg 4000
Mbegu nyingine supa na yenyewe kama lishe ila lishe ndo inafanya vema sana...
Kwa maelezo zaidi 0755404226

Pia Mimi ni Mkulima wa mboga mboga na papai na nauza Miche hybrid
Eka moja ya mchicha inaweza kutoa faida ya kiasi gani kwa makisio ndg?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom