Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Mwaka Jana nimefanya uchunguzi nimegundua Kuna fursa ya biashara ya karanga zikiwa mbishi hasa pale ukiwahi mapema Sana. Debe 1 linauzwa kuazia 10000 to 20000 vijana tusibague kazi. Pesa ziko tu...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Leo ningependa nitoe somo juu ya Kubalance Biological cycle katika bwawa la samaki. Hapa ni katika aina yoyote ya bwawa la samaki. Wafugaji wengi wamekuwa wakifuga na bila kujua au kuelewa jinsi...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa wale wataalam au kama kuna yoyote ambae amewahi kufanya biashara ya kuuza mihogo kutoka shambani, pisi 3 au 2 za mihogo ina maana gani.? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Habari wana Jamvi. Naitwa Costantine Edward ni Co-founder na C.E.O wa kilimo smart app, kwanza napenda kutoa kheri ya mwaka mpya 2019 kwenu nyote. Lengo: kilimo smart ni application ambayo...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta Mkopo wa milioni mbili na nusu ya kilimo cha Maua ardhi ninayo ila nimepelea hicho kiasi. mkopeshaji anakua partner ata pata 30%
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hizi pilipili mbuzi zinatatizo gani? Kwani kila nikienda kwenye maduka ya kilimo naambulia kununua madawa tu lakini mmea hauna dalili yeyote ile ya kupona dawa nilizo tumia ni super vory, ridomil...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimesikia na kuona viongozi wengi wakiliongelea swala hili, na Magesa Mulongo asema hivi
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari ya majukumu wadau wa kilimo na ufugaji. Nimefuga kuku wa kienyeji. Wiki iliyopita niliona kuna kuku amepoa sana. Sasa kadiri siku zinavokwenda. Huyu kuku anavimba eneo la jicho mpaka haoni...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Niko Dar nataka kupanda nanasi kwenye kiwanja changu. Kina ukubwa wa nusu eka kiko kongowe. Naomba kujuzwa aina ya minanasi inayofaa eneo hilo na wapi nitapata mbegu/miche yake
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Naomba mwenye kujua bei ya karanga kwa kilo ni sh ngapi anijulishe nipo arusha. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Kwanini kuku hukimbia kabla ya kupandana? Hii ina maana gani kitaalamu?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba anaejua bei ya mashine za kukeleza mbao, pia zinakopatikana, msaada pls
0 Reactions
13 Replies
12K Views
M mwanafunzi nasoma njee ya nchi sehemu nilipo Vifaa vya hospital bei rahisi na kwa makampuni niliyoyafatilia yote yapo iso certified nimebakisha mwaka na nusu katka masomo yangu,kwa mda uliobaki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wapenda humu ndani nina uza pump ya kumwagilia inch tatu aina ya boss kwa laki tatu na thelathini mpira wake laki moja na arobaini mpira ni mitaa mia vitu vyote bado vipya kabisa havitumika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jamii, tunakukaribisha katika ziara ya mafunzo ya fursa zitokanazo na bidhaa za kilimo nchini Kenya February 2019, Tafadhali fungua kiambatanisho Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Wanataalam Wang humu, ninataka kulima alizeti, nataka kutumia dawa ya kuua magugu. Ni dawa ipi inafaa kuua magugu kwenye shamba la alizeti? Asanteni na karibuni kwa ushauri. Sent using Jamii...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nimesikia machinjio kubwa na ya hadhi ya juu inaendelea kujengwa Soga wilayani Kibaha! Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Nime-attach picha,ni hali ambayo siilewi ..yani tikiti inakuwa kama inakauka sijui inakuwaje..hiyo ni nini jamani na naidhibiti vipi?????
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wadau, natafuta kwa udi na uvumba kama kuna dawa ya kuzuia magugu yasiote. Yananisumbua sana, kila siku yanaoteana tu. Nipo Dar es Salaam. Natanguliza shukrani.
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…