Habari zenu wakuu naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu

puruwanji

Member
Sep 22, 2018
81
28
Habari zenu wakuu naomba msaada kwa anaejua biashara ya maua karkade wapi nitapata kwa jumla na bei zake naomba msaada huu wakuu
 
Pole mkuu cheki na mtu aliyeko dodoma akuchekie dodoma sokoni au apate connection kwa muuzaji kama utahitaji kwa jumla.
 
Ahsante mkuu kwa bahati mbaya sina mtu dodoma na ingekua vyema ningepata connection ya muuzaji wa jumla ningeshukuru sana...
 
Back
Top Bottom