Kama kichwa hapo juu nna ujuzi kiasi juu ya ufugaji wa kuku wa aina zote, ila nimehangaika sana kutafuta mtaji ,wapi ntapata mkopo wenye liba nafuu? NB. Npo Dodoma city
Mimi nina mtaj wa 650000. Je nlikua naomba mnijuze kilimo gani kwa bei hiyo itafaa? au
kama kuna biashara nyingine nzuri inayolipa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo katika ufugaji wa kuku wa kienyeji na wa Malawi kwa muda mrefu. Ni mwaka wa pili sasa vifo kwa kuku vinaongezeka licha ya kutimza chanjo za Newcastle, gumboro na ndui kwa wakati mwafaka...
Habari za asubuhi wana jamvi.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ni nini sababu ya matunda matikiti kuoza yakiwa bado madogo.
Kwa mara ya kwanza nililima matikiti mwezi wa tisa, kwa bahati...
Mwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka...
As the global population swells, so does the need for food. Could a Netherlands approach to farming that doesn't rely on soil, sunshine, water and pesticides be the answer?
The small...
Kama kuna mwanajf mwenye kunijuza maeneo zilipo tunda la parachichi aina ya hass kwa Moshi au Arusha anipe info's anijuze hapa au aje PM kama yuko nazo,
siitaji parachichi kuchukua maeneo ya...
Nitatatizo na aina hii ya mdudu anasumbua Sana shambani kwa anaejua dawa ya kumuua maana nimehangaika Sana nimetumia dawa Kama sala naka na aina nyingine lakini hafi.
Sasa naombeni kwa anaejua...
Wakuu
Naombeni msaada kwa yeyote anayeifahamu mvomero vizuri. Katika mishe zangu za kutafuta liziki nimepita wilaya ya mvomero na imenivutia. Sasa wadau nataka kujua roughly bei za ardhi huko...
Wakuu sisi huku shinyanga tumekuwa tukihangaika na panya wanao kula mimea inapo ota au kabla ya kuota yaani wanafukua na kula punje ya mumea
Mazao yanayo liwa na panya ni mahindi, mpunga...
Wadau naombeni kujuzwa,nahitaji 1m ,tu vigezo vikoje kwenye hii benki,maana huku kwetu naiona kwenye tv,tu tafadhali nisaidieni
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasalimu wote.
Mwaka huu nimeazimia kujikita katika kilimo, kwa kuanzia nimepata shamba eka moja, nataka nianze kilimo cha mahindi. Hivyo basi naomba wataalamu wa kilimo wanijuze mbegu kiasi...
Mwaka Jana nimefanya uchunguzi nimegundua Kuna fursa ya biashara ya karanga zikiwa mbishi hasa pale ukiwahi mapema Sana.
Debe 1 linauzwa kuazia 10000 to 20000 vijana tusibague kazi. Pesa ziko tu...
Leo ningependa nitoe somo juu ya Kubalance Biological cycle katika bwawa la samaki. Hapa ni katika aina yoyote ya bwawa la samaki.
Wafugaji wengi wamekuwa wakifuga na bila kujua au kuelewa jinsi...
Kwa wale wataalam au kama kuna yoyote ambae amewahi kufanya biashara ya kuuza mihogo kutoka shambani, pisi 3 au 2 za mihogo ina maana gani.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana Jamvi.
Naitwa Costantine Edward ni Co-founder na C.E.O wa kilimo smart app, kwanza napenda kutoa kheri ya mwaka mpya 2019 kwenu nyote.
Lengo: kilimo smart ni application ambayo...