Panya wawatishio kwa wakulima wa mahindi nk.

Mudugu

Senior Member
Mar 17, 2018
140
130
Wakuu sisi huku shinyanga tumekuwa tukihangaika na panya wanao kula mimea inapo ota au kabla ya kuota yaani wanafukua na kula punje ya mumea
Mazao yanayo liwa na panya ni mahindi, mpunga, vitunguu, na matikiti
Tunahangaika bila kupata suluhisho la hao panya wahalibifu wa mazao yetu
Kama kuna wanao jua dawa ya kuwafanya wasishambulie mimea tunaomba msaada wenu
 
" Udikteta ni serikali ya mtu mmoja au kikundi cha watu wachache ambao wao ndio huwa sheria, anayepinga watakayo huoneshwa cha mtema kuni". By Julius Kambarage Clean Master Adam4adam Mathway
 
Back
Top Bottom