Vijana wengi wa Kitanzania ni wavivu kupindukia, wanataka mteremko

MtamuMix

Senior Member
Feb 10, 2018
113
250
Mwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka humo na majanga mengine mengi. Nimelilima kwa maana ya kulisafisha sasa ni safi pyeeeeeeeeeeeee.

Kipindi hicho nanunua, alikuwepo rafiki yangu ambaye nilikuja kugundua baadaye kuwa japo tuna fursa wote, maana tumeajiriwa, tuna mitazamo tofauti. Yeye hakuona haja ya kujihangaisha kote huko. Anapenda maisha flani ya kufanikiwa kimishen town hivii. Baada ya kusafisha shamba, mwaka jana nikaanza ujenzi wa nyumba ndogo hapo, maana mimi siamini katika kilimo cha remote control. Nataka niishi hapo hapo, nilime na niliangalie shamba langu. Mwaka huu niko kwenye harakati za kutoboa maji chini (drill)... Mungu akipenda kabla ya April nitakuwa nimefanikisha.

Sasa jamaa yangu amenijia, anataka tulime kwa utaratibu wa ubia. Eti tuchangie gharama za kilimo(mbegu, mbolea, dawa, palizi etc). alafu tugawane mavuno ya hicho tutakachopanda (iwe ni nyanya, tikiti, vitunguu etc.). Nimemwangalia hata simmalizi yaani, natamani nimjibu nahisi naweza kumtukana. Wote tuna mishahara, na kila mmoja ana uwezo wa kuwekeza. Nimesota miaka yote minne nateketeza nguvu zangu, muda, hela na rasilimali zingine. Kuchimba maji kwa mashine ya drilling ni wastani wa 10m. nimejipinda mtu katulia tuliiii. Leo kumenoga yeye anataka kutia timu, alafu anajifanya mjuaji sana yaani kiherehere chake utadhani ndo shamba lake anavyokuja kunipangia cha kufanya. Bwege sana.

Watanzania tujifunze kujitesa kwa muda flani ili baadaye mambo yakunyookee. Ina gharama yake. Inaumiza sana watu kudanganywa na motivational speakers unasimuliwa jinsi kilimo kinavyolipa, lakini hutaki kujifikirisha pia jinsi kilimo kinavyohitaji sacrifice ya kutosha especially kipindi cha mwanzo. Unaposisimka pale unapoona mtu ana shamba la green house, au hata la nje lakini anamwagilia drip irrigation, anatoa magunia kibao ya vitunguu, nyanya au mazao mengine, unatakiwa ufikirie huyo mtu alifika fikaje hapo? Tusitake tu kuona shamba jeupe, kuna kisima cha maji, pampu na simtank alafu unasema sasa tukalime.
 
MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
352
500
Huyo sio rafiki yako, huyo ni mnyonyaji ambaye ameona jitihada zako na urahisi wa yeye kupata chochote kwa jitihada ulizofanya,, unachpaswa kufanya ni kusema neno HAPANA,, kataa na sio kuweka maneno mengi au kulalamika ni neno moja tu HAPANA litakupa uhuru wa kufanya mambo yako na uhuru mwingine mwenyewe ataanza kusogea mbali
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
2,475
2,000

Unamwangalia na kuishia kucheka hiiiii
Mwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka humo na majanga mengine mengi. Nimelilima kwa maana ya kulisafisha sasa ni safi pyeeeeeeeeeeeee.

Kipindi hicho nanunua, alikuwepo rafiki yangu ambaye nilikuja kugundua baadaye kuwa japo tuna fursa wote, maana tumeajiriwa, tuna mitazamo tofauti. Yeye hakuona haja ya kujihangaisha kote huko. Anapenda maisha flani ya kufanikiwa kimishen town hivii. Baada ya kusafisha shamba, mwaka jana nikaanza ujenzi wa nyumba ndogo hapo, maana mimi siamini katika kilimo cha remote control. Nataka niishi hapo hapo, nilime na niliangalie shamba langu. Mwaka huu niko kwenye harakati za kutoboa maji chini (drill)... Mungu akipenda kabla ya April nitakuwa nimefanikisha.

Sasa jamaa yangu amenijia, anataka tulime kwa utaratibu wa ubia. Eti tuchangie gharama za kilimo(mbegu, mbolea, dawa, palizi etc). alafu tugawane mavuno ya hicho tutakachopanda (iwe ni nyanya, tikiti, vitunguu etc.). Nimemwangalia hata simmalizi yaani, natamani nimjibu nahisi naweza kumtukana. Wote tuna mishahara, na kila mmoja ana uwezo wa kuwekeza. Nimesota miaka yote minne nateketeza nguvu zangu, muda, hela na rasilimali zingine. Kuchimba maji kwa mashine ya drilling ni wastani wa 10m. nimejipinda mtu katulia tuliiii. Leo kumenoga yeye anataka kutia timu, alafu anajifanya mjuaji sana yaani kiherehere chake utadhani ndo shamba lake anavyokuja kunipangia cha kufanya. Bwege sana
 
MtamuMix

Senior Member
Feb 10, 2018
113
250
Huyo sio rafiki yako, huyo ni mnyonyaji ambaye ameona jitihada zako na urahisi wa yeye kupata chochote kwa jitihada ulizofanya,, unachpaswa kufanya ni kusema neno HAPANA,, kataa na sio kuweka maneno mengi au kulalamika ni neno moja tu HAPANA litakupa uhuru wa kufanya mambo yako na uhuru mwingine mwenyewe ataanza kusogea mbali
Mkuu sometimes inabidi kufikiria kwanza namna ya kumjibu, la sivyo ni rahisi kutukana. Ndo maana Mungu akatupa akili, na wanasaikolojia husema ukiwa na hasira usimjibu mtu. Unatulia kwanza alafu unashusha hasira kwanza. Maana yeye alitakiwa ajiongeze kichwani mwake walau hata awe na chembe ya aibu ili kuepusha mengine. Bado nafikiria namna ya kumjibu ila haya majibu ninayoandaa siku nikimjibu hatarudi kunisogelea.
 
Linko

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
1,984
2,000
Mwaka 2015 nilifanya maamuzi ya kutafuta shamba, Mungu mwema nikapata ekari 3 na nusu. Tangia hapo mpaka leo nimehangaika na hilo shamba kulibadilisha from pori, visiki, miiba, kupishana na majoka humo na majanga mengine mengi. Nimelilima kwa maana ya kulisafisha sasa ni safi pyeeeeeeeeeeeee.

Kipindi hicho nanunua, alikuwepo rafiki yangu ambaye nilikuja kugundua baadaye kuwa japo tuna fursa wote, maana tumeajiriwa, tuna mitazamo tofauti. Yeye hakuona haja ya kujihangaisha kote huko. Anapenda maisha flani ya kufanikiwa kimishen town hivii. Baada ya kusafisha shamba, mwaka jana nikaanza ujenzi wa nyumba ndogo hapo, maana mimi siamini katika kilimo cha remote control. Nataka niishi hapo hapo, nilime na niliangalie shamba langu. Mwaka huu niko kwenye harakati za kutoboa maji chini (drill)... Mungu akipenda kabla ya April nitakuwa nimefanikisha.

Sasa jamaa yangu amenijia, anataka tulime kwa utaratibu wa ubia. Eti tuchangie gharama za kilimo(mbegu, mbolea, dawa, palizi etc). alafu tugawane mavuno ya hicho tutakachopanda (iwe ni nyanya, tikiti, vitunguu etc.). Nimemwangalia hata simmalizi yaani, natamani nimjibu nahisi naweza kumtukana. Wote tuna mishahara, na kila mmoja ana uwezo wa kuwekeza. Nimesota miaka yote minne nateketeza nguvu zangu, muda, hela na rasilimali zingine. Kuchimba maji kwa mashine ya drilling ni wastani wa 10m. nimejipinda mtu katulia tuliiii. Leo kumenoga yeye anataka kutia timu, alafu anajifanya mjuaji sana yaani kiherehere chake utadhani ndo shamba lake anavyokuja kunipangia cha kufanya. Bwege sana
mkuu mwambie ukweli kuwa hayo yote anayo yataka unayaweza kama anaona viipi na yeye atafute shamba
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
12,655
2,000
Mkuu watu kama hao siku zote hawakosekani lakini kwa kuwa anataka kuwekeza kwenye wazo lako unaweza usimtupe:

Jambo la msingi kubaliana naye kuhusu gharama zote za mradi husika na wewe umeshawekeza kiasi gani, then andishaneni ili kila mtu apate faida kulingana na mtaji aliowekeza.

Kumbuka wafanyakazi wote ukiwemo wewe ni lazima mlipane mishahara then atapata RETURN kulingana na HISA zake mradi utapoanza kutoa faida.

Kama hataki, mpige chini.
 
Gien Banks

Senior Member
Sep 10, 2018
129

Tuondolee Uwongo Wako Hapa.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,638
2,000
Hasa hawa ccm, kazi yao kubeti tuu na kusubiri vyeo na vihela vya upambe, nyooo
 
MtamuMix

Senior Member
Feb 10, 2018
113
250
Mkuu watu kama hao siku zote hawakosekani lakini kwa kuwa anataka kuwekeza kwenye wazo lako unaweza usimtupe:

Jambo la msingi kubaliana naye kuhusu gharama zote za mradi husika na wewe umeshawekeza kiasi gani, then andishaneni ili kila mtu apate faida kulingana na mtaji aliowekeza.

Kumbuka wafanyakazi wote ukiwemo wewe ni lazima mlipane mishahara then atapata RETURN kulingana na HISA zake mradi utapoanza kutoa faida.

Kama hataki, mpige chini.
Wakati nanunua shamba, kulikuwa na mengine yanauzwa pale, nikamshirikisha akasema hana muda. Mimi sikuwa na hela zaidi ningenunua hata zaidi ya hizi, ila uwezo uliishia hapa wakati huo. Yeye aliona ni kama business ambayo hailipi akaendelea na mishen town zake. Nimeshatoka from the most dark part of my project, mwanga unaonekana sasa hata kilaza tu anaelewa pananukia nini. Hakuna alichoshindwa kuwekeza wakati mimi nawekeza, ila kwa ufupi ni aina ya watu wasiopenda kuteseka, they are called opportunistic.
 
MtamuMix

Senior Member
Feb 10, 2018
113
250
Mkuu wala usimtolee mwana nje, kama unaona inafaa unaweza kuingia nae mkataba wa namna atakavyochangia na namna atakavyo faidi.

Mbona ni rahisi sana mkuu.
Kwa haki kabisa, hata nikimwalika, inatakiwa muingie ubia kwa % ya hisa kila mtu alizowekeza. Mimi nimeshateketeza zaidi ya 20m, na sasa naenda kutupa tena 10m, jumla itakuwa zaidi ya 30m. Alafu hizo anazosema pembejeo ni hela ndogo sana ambazo haitakiwi kupigiwa mahesabu. Kama ni wewe nikikualika alafu nikisema tutakazhozalisha profit mimi nitachukua 80% wee chukua 20%, utakubali? wengi watakataa lakini ndo ukweli mchungu. MImi nimewekeza milioni 30 wewe unakuja kuweka milioni 1 ambayo miezi mitatu tuu unapiga faida. mimi nimeteketeza mamilioni mengi kwa muda mrefu bila return yoyote, wewe unawekeza tuvisenti vyako return miezi mitatu alafu unataka kupige pasu kwa pasu, haiwezekani
 
UNIVERSE

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
526
500
Mkuu sometimes inabidi kufikiria kwanza namna ya kumjibu, la sivyo ni rahisi kutukana. Ndo maana Mungu akatupa akili, na wanasaikolojia husema ukiwa na hasira usimjibu mtu. Unatulia kwanza alafu unashusha hasira kwanza. Maana yeye alitakiwa ajiongeze kichwani mwake walau hata awe na chembe ya aibu ili kuepusha mengine. Bado nafikiria namna ya kumjibu ila haya majibu ninayoandaa siku nikimjibu hatarudi kunisogelea.
Mkuu kwanza hongera kwa hatua uliofikia, umewekeza pesa nyingi mpaka hapo. Changamoto halisi za kilimo zinaanza rasmi wakati mkulima anaanza kulima. Unaweza kufanikiwa vizuri shambani lakini soko likakuangusha na kufanya juhudi, muda na mtaji ziwe sawa na kazi bure. Na shambani kunaweza kuharibika au kutoa mavuno yasiyotarajiwa lakini soko likawa zuri.
 
MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
4,374
2,000
Mkuu embu watake radhi vijana waki-Tanzania. Huo mfano wa huyo boya mmoja hauwezi ukawa ndiyo ground yako ya kufanya conclusion ya kiboya namna hiyo. Vijana wa Kitanzania ni wachapa kazi na ni weledi. Acha upimbi.
 
black sniper

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
16,141
2,000
Inawezekana ukawa umekasirika kwa jinsi alivyokuja na hatua hiyo.
Lakini ukweli ni kwamba watz bado hatujui ubia ni nini? Na una faida gani kwa kuongeza miradi na kampuni kukua.

Makampuni mengi yameanzishwa na individuals au family lakini bado wanakaribisha watu waingize pesa
Wapo wanaotaka mteremko kama huyu na hajui kwamba maneno yake yamekuumiza ila hana pa kuanzia anaona akiwekeza hapo atapata %
Wewe na maamuzi yako

Sent from my SM using Tapatalk
 
Top Bottom