Habari za asubuhi ndugu zangu
Nina kuku chotara wakubwa na wanataga mayai. Lakini ndani ya wiki wameanza kuvimba miguu kwenye ankle. Alafu naona kama wanaambukizana. I je, huu ni ugonjwa gani, na...
habari ya leo..
Binafsi ninamiliki shamba dogo maeneo ya Ksarawe kwa DC JOKETI lakini halinisaidii chochote kwani sifugi wala sililimi kutokana na ukame ulioikumba ukanda wa pwani wa Tanzania...
Sisi kama Wafugaji Wanyama ndio tegemeo letu kubwa katika kuinua hali zetu za kiuchumi, Vile vile Wanyama ni viumbe wenye Matumizi Mengi kwa binadamu kuanzia Chakula mpaka Urembo.
Kwa namna...
Habari wanajamii leo napenda kushare na Jamii pamoja na taasisi mbali mbali ili kuthibitisha na kufanya utafiti zaidi kuhusiana na Ugonjwa wa GUmboro kwa Kuku.
Nikiwa mgeni katika sekta ya...
Message…habari wana jamii mm ni mfugaji mdogo nafuga kuku wa kienyeji .kuku ninao wachache tu c wengi.hivi juzi nimeanza kuona wanaumwa ugonjwa kama kukohoa hivi.nilipochunguza nikagundua vitu...
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhandisi Mathew Mtigumwe leo tarehe 21 Machi, 2019 amezindua rasmi mtaala wa Kilimo uliohuishwa baada ya ule wa zamani uliofahamika kama mtaala wa kilimo mseto...
Wadau wanaotaka kujua kuhusu kilimo cha njegere
WAkuu mwenye uzoefu tunaomba tuelekezane juu ya kilimo cha zao hili.
-----
Ndugu zangu naombeni msaada kuhusu kilimo cha njegere, upatikanaji wa...
Habari wadau, nimeanza kamradi ka ufugaji wa mbuzi hivi karibuni ila tatizo kuna baadhi ya mbuzi pembe zao zina ncha kali hivyo naona kama zinahatarisha wao kwa wao kuumizana, nimepata wazo la...
Parachichi limekuwa zao mbadala la biashara hususani kwa wilaya za Rungwe, Njombe na kwingineko kwenye hali ya hewa inayofanana na wilaya hizo.
Zao hili limekuwa muhimu kwa kuwa husafirishwa...
Natumaini mnaendelea vizuri na shuguli za kila siku, pitia kiambatanisho hapa chini kama unataka kujikwamua kupitia ufugaji wa kuku na mazao yake. Pia usisite kuwasiliana na sisi kwa mawasiliana...
1.Protini.
2.Mafuta.
3. Wanga.
4. Madini.
5. Vitamini.
1.PROTINI
Ni aina ya vyakula ambavyo kazi yake kubwa ni kukuza mwili navyo ni kama ifuatavyo, Mtama, Dagaa, Alizeti na Soya. Hivi vyote...
Natamani kufuga samaki wa maji ya chumvi lkn sina uzowefu wala ujuzi wa namna ya kufuga ,Nina mpango wa kuanza na samaki ,kamba au mud crabes (Kaa tope).je naweza kupata utaalamu hapa auu ushauri...
Habari wadau,
Nina shamba langu la hekari mbili na ninatka nifanyanye kilimo cha umwagiliaji wa kutumia gun sprinkler, naomba mnisaidie ni gun sprinkler ipi nzuri kwa kutumia kwenye kilimo cha...
Binafsi nimeamua kujiajili kwenye sekta ya Kilimo, nimejikita kwenye zao la Mahindi na Karanga.
Changamoto mbalimbali zinanikuta kutokana na wadudu waharibifu wa mazao, kuna dawa ambazo...
Ninaguruwe 2 walizaliwa mwezi April 2016 , wanazaidi ya mwaka sasa lakini hawaingii joto ili niwapandshe, naomnba ushauri wako nifanyeje, nimejaribu kuwapa chumvi naona bado tu, msaada wako ni wa...
Protocol observed
Mimi ni muumini sana wa kutumia technologia za ndani na bidhaa zinazozalishwa nchini mana kwa kufanya hivyo naamini kuna watanzania wenzangu nimewasaidia ugali.
Jambo lililo...
Wadau.. Hii ni mbegu ya mahindi ambayo niliichukua kwa rafiki yangu
Lakini yeye hajui ni aina gani hakumbuki kifupi. Mimi nimepata kujua ni mbegu bora ya mahindi, lakini ni aina gani hasa...