USHAURI; Jinsi Ya Kutatua Changamoto Ya Soko Kwenye Kilimo Cha Kibiashara

Ushirika imara.

Kuwa na viwanda vidogo vidogo vinavyofanya food processing ili kuongeza thamani ya mazao.

Kuwa na sera za kitaifa zinazolinda thamani(kwa baadhi) ya mazao yaliyotajwa katika sera husika ilimkuepusha kuwa na mazao yanayouzika kwa msimu mmojankisha thamaninyake kutoweka na kuibuka kwa zao jingine.

KILIMO ni uwekezaji. Bila sera madhubuti bado hatutafika.

Hata hivyo,kilimochetu kina changamoto nyingi sana ambazobila mikakati ya makusudi tutabaki na tryals and errors.

UMUHIMU WA VIWANDA.
Viwanda vitasaidia kuwa na uhakika wa soko kutokana na mahitaji ya uzalishaji bidhaa za chakula. Kuwa na chain inayoonesha wazalishaji na wanunuzi inayojitanabahisha.
Pamoja na hayo,viwanda vitasaidia kutanua wigo wa ajira.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitu kikubwa ambacho kinapelekea wakulima Hawa wa BIASHARA washindwe kuimili soko ni kushindwa kutengeneza MNYORORO WA THAMANI.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom