Na Bakari Chijumba
Naibu Waziri wa Kilimo Omary Mgumba amesema Tanzania inakusudia kuwa mzalishaji mkubwa wa zao la korosho Duniani ambapo imeweka mkakati wa kufikia uzalishaji wa tani milioni...
KITABU CHA MASUALA YA GREENHOUSE SASA KINAPATIKANA
Habari wajasirimali wote na wanajihusiha na kilimo cha kisasa na wanaowiwa kujihusisha na kilimo cha kisasa hasa Greenhouse/Nethouse , sasa...
Habari zenu wakuu.wale wote Wanaopenda kilimo cha umwagiliaji hasa cha kutumia drip line system.katika kilimo cha mazao ya Muda mfupi Karibuni Sana hapa.kama una wazo la kutuelimisha zaidi kwa...
MAHITAJI
- Kuku(tetea) 10
- Jogoo 01
-Banda bora
-Vyombo vya chakula na maji
-Chakula bora
-Madawa na chanjo kwajili ya magonjwa
-Chanzo cha nishati joto na mwanga
-Elimu na ujuzi wa malezi bora...
Wadau kuna mtu humu ndani anauzoefu na hii banki
Labda amewahi kuomba mkopo atupe uzoefu wake
Nahisi hii inaweza kuwa fursa nzuri kama tukiitumia vizuri
Heshima kwenu wakuu, nalenga kuotesha miche ya mipaina(pines) ili kupunguza gharama za kununua miche iliyooteshwa. Lakini sina uelewa wa kutosha wapi nipate mbegu bora ikiwezekana za kisasa...
Mimi mfungaji wa kuku wa kienyeji
Nitatizo ktk kulea vifaranga
Naomba msaada njia gan bora
Ya kulea vifaranga
Maana nina kuku wangu watotolesha vifaranga 11 mpaka 13
Ila kwenye kulea wanabaki...
Wapendwa,
Naomba mnisaidie kwa anayejua jinsi ya kuweza kuwapata vifaranga vya layers - either kutoka interchick au mkuza chick .
Ninahitaji layers vifaranga 500, nipo mkoani njombe.
Ntanguliza...
Jaman naombeni msaada nipo hapa mwanza nataka nilime kilimo cha siku 90-120 nipeni ushauri naweza kilimo cha zao gani kwa hapa mwanza ila mtaji nnao Tsh 200000 eneo lipo
Habari wana Jamii, Kwa kifupi nimeanza kufuga Kuku wa Mayai (Layers) ni mgeni kabisa katika suala la ufugaji kuku wangu kwa sasa wana wiki 10 ila kuna Kuku kama 20 kati ya 300 wanatoa machozi...
Kwenu wataalam na wadau wa kilimo huu ni mche wa pilipili hoho nimeujaribu kuchunguza shambani nikaona miche mitano iko zaifu baada ya kuing'oa nikakutana na hali hii je ninaweza kutumia dawa zipi...
Kwa wale wafugaji wa kuku wa kienyeji na wasio na uwezo wa kupata artificial incubators, fuata njia hii kutotolesha vifaranga vingi katika kipindi kifupi.
Uwe na majike kadhaa wanaotaga (mfano...
Habari zenu wadau?
Naomba msaada wa kujuzwa mikoa na wilaya ambazo/ ambayo naweza kwenda kulima mpunga kwa msimu huu wa mvua.
Naombeni mnisaidie hasa wilaya zinazofaa kwa shughuli ya kilimo...
Wakuu habari poleni na majukum ya kitaifa!!!
Ase naombeni msaada nina kuku wa kienyeji matetei 30 na majogoo 4 tatizo hawa kuku nahisi kama kuna mtu ananichezea kwenye kuku wangu yani kuku...
Naombei mwenye kujua tatizo hili la mpapai kuangusha matunda wakati wakuchanua aniambie nidawa gani nitumie ili mpapai uendelee na kutoa matunda maana saivi kila uwa likichanua tu linaanguka hii...
Jamani naombeni mnisaidie kama kuna mfugaji bata mwenye uzoefu.... bata wangu vifaranga huwa vinakufa sana naombeni mnisaidie ni tatizo gani hili na nifanye nini kuzuia hili?
Habari wana JF.
Ninajaribu kujifunza kuhusu kilimo cha uyoga na pia ninaperuzi na masoko yake. Nataka kuwa mkulima wa uyoga lakini nataka kwanza nijue namna ya kutoa uyoga bora na kupata masoko...
Natumai mu wazima wanashiriki wa jukwaa hili.
Kama heading inavyojieleza naomba kwa mwenye uzoefu na kilimo cha mpunga maeneo ya Ifakara anisaidie taarifa kuhusu yafuatayo :-
i. Upatikanaji wa...