Safari ilianza kilimo ni Uti wa mgongo ( jembe la mkono likatawala tukampata mbunge anaitwa mkono ) hadi kilimo kwanza ikishindikana labda tatizo ni darasa la kwanza kubeba begi kama mtu wa form...
Natumaini mu wazima wana jamvi!
Kwa yeyote mwenye uelewa kuhusu kilimo cha miti ya matunda Tanzania naomba anisaidie. Ukiwa na maelezo ya kitaalam itapendeza zaidi, na kama una uelewa wa juu juu...
Ninaomba kwa anayejua hivi ni kwanini ugonjwa wa mafua huwa unawashambulia sana kuku hawa, na ni kwanini ukitumia dawa unaisha kwa muda na unarudi tena.
Nahitaji msaada wafugaji wenzangu na...
Nawasalimu kwa pamoja ndugu zangu,
Mimi nimejiunga huku kwa nia ya kujifunza, kwa namna ya kipekee sana mmenipokea na kunionyesha ushirikiano hasa pale nilipohitaji msaada wa mawazo. Asanteni...
Habari JF,
Wakulima nao waongelea hapa, ni wale ndugu zangu wanaotegemea kilimo cha jembe la mkono ambao ni wengi kuliko wale wanaofanya kilimo cha kisasa.
Pamoja na kuwa na mahitaji mengine...
Habari wanabodi, poleni kwa majukumu.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni kutaka kufahamu kilichosibu soko la mayai ya kisasa. Kwa wale wafugaji wa kuku wa mayai watakuwa na kumbukumbu ya miaka yote ya...
Iko hivi, nimejipanga kufanya kilimo cha umwagiliaji msimu wa kiangazi. Nina shamba ekari 4. Natarajia kiangazi kikianza nichimbe maji then nifunge pampu. Nitakuwa napandisha maji kwa generator...
Habari ndugu zangu wa JamiiForums,
Nilikuwa naomba msaada wa kujua moja mbili tatu ya biashara na ukulima wa maharage machanga, naomba kujua mfano kwa upande wa Arusha nasikia kuna makampuni...
Nimenunua incubator ya kutengeneza hapa ndani. Tarehe10/12/2018,niliweka Mayai tray 20 kwa Mara ya kwanza. Mwisho wa siku vimetoka vifaranga30 tu. Wajuzi nisaidieni,hapo tatizo ni Mashine au...
Habari wakuu,
Kwa wale wajuzi wa aina za mbwa naomba mnisaidie utaalamu wenu kwa mbwa huyu, anaonekana ni chotara sasa ndio nataka kuelewa amechanganyia na mbwa gani kwa muonekano wake. Ana mkia...
Wadau wa kilimo, naomba msaada kwenye changamoto hii ya ugonjwa kwenye miti ya matunda.
Ugonjwa huu pia umeshambulia miembe, mistafeli na mipapai.
Pichani ni mti wa mpera umepata ugonjwa kama...
Baada ya kukomaana nikaamua kulima na hatimae nimefikia hapa
nimeamua kulima mahindi, na kunde kiukweli nashukuru nilipo fikia.
na mwakani nampango wa kulima ufuta hapo hapo kiukweli shamba liko...
Ndugu zangu naomba ushauri kwenu maana mimi sasa nashindwa nitumie mbolea ipi. Kwa kifupi mwaka juzi nilitumia Dap ilinipa matokeo mazuri, mwaka jani nikaambiwa Yaraceitirio nikatumia sikupata...
Nawasalimu kwa pamoja ndugu zangu,
Mimi nimejiunga huku kwa nia ya kujifunza, kwa namna ya kipekee sana mmenipokea na kunionyesha ushirikiano hasa pale nilipohitaji msaada wa mawazo. Asanteni...
Wanajamii Niko mikoa ya nyanda za juu kusini.
Nashukuru sana kwa watu wanaochangia elimu kwa jamii kupitia jukwaa hili. Ninalo shamba ambalo sijaliendeleza ekari NNE. Ninapenda kufanya kilimo cha...
Pamoja na Jitihada kubwa zinazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano kuboresha zao la korosho kwa wakulima kupata bei nzuri ambayo haijawahi kutokea hapo nyuma kwa mfumo wa stakabadhi ghalani, mfumo...
Nimeona kwenye mitandao na kugundua kuwa kuna kilimo ama ufugaji wa konokono katika nchi mbali mbali hapa duniani na soko lilivyo kubwa la wakonokono duniani. Nimeona Nigeria wao wamefanikiwa...
salaam!
nimeanzisha ufugaji na nataka kuwa na shamba kubwa la ufugaji,eneo nimepata na nimeanza kiasi sehemu nyingine kabla sijahamia rasmi kwenye shamba kubwa
gharama ya kununua chakula iko...